Wanawake wamegawanyika mzee,kuna wanawake wa kuolewa na wengine ni wakutumika tuu ndo maana ukilazimisha kuoa mwanamke waivyo aufiki mbali kimaisha utaishia kujuta tu basi
Tatizo ukawa sana,hio nilugha tu wewe mtoa habari kukosea kupo tu mbona marais wengi hawajui kabisa hio lugha na wananchi wao hawafatilii iweje Ww kutafuta makosa ya mtu,mh.Magufuri pia ni mtu siokwamba yy anajua kila kitu,tumuone kama mtu pia ambae anamadhaifu yake yy sio malaika kama...
Picha ya shetani hata wemwenyewe unaweza ukawa shetani tu,vile unavyoishi na watu vile ndo picha ya shetani unaweza unaweza ukaiona hasa kwa matendo maovu
Usikalili kua akina mangi wote ni mabaili wengine wanajiachia tuu,sio wote wakiacha useminali wanakua na tabia sawa,pia walio acha na kufukuzwa wote wanasababu zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.