Kwa waliowahi kuwa waseminari

Kwa waliowahi kuwa waseminari

Mark S

Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
74
Reaction score
90
Habari,

Kwanini wanafunzi wa masomo ya upadri inapotokea wameishia njiani hususani kwenye ushemasi, wengi wao wakija uraiani maisha yao mara nyingi huwa ni ya ajabu kama ulevi, kufukuzwa kazi na nk?
 
Mimi nimepita seminary lakini matendo yangu sio kama ya walioendelea na seminary
 
Usikalili kua akina mangi wote ni mabaili wengine wanajiachia tuu,sio wote wakiacha useminali wanakua na tabia sawa,pia walio acha na kufukuzwa wote wanasababu zao
 
kaka sio kweli kabisa mm nilitimuliwa mwaka 2000 nikajikamua uraiani nimeajiria hata harufu ya value siijui
 
Back
Top Bottom