Recent content by jogoo dume

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga wanapenda kuuliza hili swali?

    Wanataka kujua ni mtu wa kuishi kwa malengo au upo bila mwelekeo!? Kabila linasema mengi.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Itolewe Amri, uchafu kukutwa kwenye eneo lako, faini elfu 50

    NTakupa uzoefu wangu;siku fulani nikikuwa na chupa ya maji mkononi ambayo nilitaka niitupe kwenye sehemu sahihi. Lakini nikitembea zaid ya kilomita mbili katika barabara ya Sam Nujoma sikukuta pipa lolote la taka. Katika mazingira hayo wewe ungefanya nn?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

    Utaelewa vizuri katika wakati sahihi.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy Tab 8 Inauzwa

    Nauza Samsung Galaxy Tab 8 Kwa Tsh 250,000,Iko kwenye hali nzuri na Ina mwaka mmoja. Kwa maelezo zaidi unaweza njoo inbox.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananilazimisha nioe mke wa pili mwaka wa pili sasa

    Nakumbuka hata yule mfanyakazi wa Azam mke wake alimshauri aoe mke wa pili Kwa kuwa yeye yuko busy sana na kazi. Lkn ukweli wa mke ulikuwa moyoni mwake. Sote ni mashahid wa yaliyojiri,mke saivi ni mke wa kigogo. Ishi kimasta.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Who is Benno Malisa?

    Time!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Jukumu la serikali ni kuhakikisha ulinzi wa raia na mali zao,na kuhakikisha sheria zinafuatwa. Sheria zinakataza ponzi scheme. Ujinga wa raia hauondoi jukumu hilo
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Kumeibuka utapeli mwingine hivi karibu wa upatu (ponzi scheme) ijulikanayo kama LBL ambako wananchi wengi wanaweka fedha zao ili kuvuna. Huu ni mwendelezo wa yale yaliyotokea awali kama Deci, QNet, ClubD9, Kalinda na Kuku. Kabla wananchi wengi hawajawa wahanga wa uhalifu,tunaviomba vyombo vya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kutengeneza kalamu za BIC iliwezaje kukaa muda mrefu bila kubadilisha muundo?

    Siku hizi wana shavers pia,naamin nazo zitakaa sokoni muda mrefu kutokana ubora wake Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
  10. J

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Unafututa marafik uliopotezana nao zaidi ya miaka kumi ili iweje? Kipindi Cha miaka 10 mtu alishakuwa na mitizamo na uzoefu tofauti,hata mkikutana mara nyingi hamna jambo la kawaida la kuwaangunisha tena. Mwisho wa siku mnaishia kutapeliwa!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

    Yes Zambia ni kweli kuna utulivu usion wa kawaida,nakumbuka wakati flani nikiwa na rafiki yangu tulifikia Taji Pamodzi Hotel-Lusaka. Rafiki yangu alinnua kahaba,na usiku huo alikunywa pia pombe kupitiliza. Wakati wa kutoka asubuhi nampigia simu hapokei,kwenda chumbani na kugonga nkakuta yule...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

    Uzi Bora kabisa Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  13. J

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

    Polepole amepikwa,akapikika,time will tell. Nikimuona Polepole namkumbuka Mzee Butiku na hayati Mahiga
Back
Top Bottom