Recent content by jogolo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Alexander Mnyeti kama Ole Sabaya

    Mmeanza wivu wenu fanyeni kazi hakuna fedha rahisi duniani
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, wewe unakula posho Ulaya unataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya

    Huwezi kutaka nchi yako iwekewe vikwazo wakati una ndugu , wazazi na wale ambao unategemea wakupe kura uwaongoze leo unataka wapate shida wewe hufai hata kukuishi maana damu ya watu itakulilia sana , wewe unashiba na kusaza unataka watanzania wateseke na ulaaniwe.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tusitetee uovu, Mbowe hayuko juu ya sheria. Kama ana makosa tuache sheria ifuate mkondo

    Sheria zipo na zipo kwa wote kama mtu kafanya kosa basi sheria ifuate mkondo , maana sio kila mtuanamjua huyp Mbowe kiundani zaidi anaweza kuwa mwanasiasa lakini akawa mtenda maovu maana sio malaika, tuvute subira ukweli utatamalaki.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nipo Zambia, kila Mzambia ananiulizia habari za Rais Magufuli

    JPM hatasahaulika kwa watanzania kwa kuwafanyia mazuri mengi . Mungu ampe raha ya milele na mwanga wa milele umuangazie
  5. J

    JamiiForums Tanzania Haki za Binadamu: Rais Samia anayo dhamira ya kweli? Kuna kesi za ajabu zinaendelea

    Muwaache watu waongee watoe machungu yao,lakini matusi si ustaarabu hatupo vijiweni hapa.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Rais Samia? Baada ya matukio haya, ni vema aongee na Taifa

    Sheria ifuate mkondo wake , na tutii sheria bila shuruti.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Mbowe ametafutwa muda mrefu sana na kulikuwa na njama za kumuua

    Wacha serikali ifanye kazi yake kama si gaidi au gaidi majibu yataonekana mahakamani. Maneno mengi hayasaidii kitu.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Lema awananga wanaodhani kuyapatia maisha na kukalia kimya kukamatwa kwa Mbowe

    Wanataka uwaunge mkono kwa fedha walizochotewa na mabeberu waje walete vurugu wakiwa wameshiba na familia zao , sie hata mia hatuna . Watuache tuhangaike na maisha yetu kila mtu ale kwa jasho lake. Hapa hakuna siasa ni kujustfy fedha walizopewa ili wasipatwe kuulizwa.Kila mtu apambane na hali yake.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Je, kushikwa kwa Mbowe Mwanza IGP alimpa amri RPC? Je, IGP alipewa amri na Rais?

    Wacheni vyombo vya dola vifanye kazi, maana kwenye uongo ukweli hujitenga
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nadharia: Unahisi Mbowe alipanga kumuua kiongozi gani wa Serikali?

    Mama asicheke nao hawa atavuna mabua hawafai.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaofanya ugaidi wapo, Serikali ichukue hatua kali zaidi

    Hizi lugha ndizo zinazochea hasira kwa mama, ina maana Magufuli mlimuua sio, hili jambo lisipite hivihivi maana ushahidi umejitosheleza hapa
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu katika kashfa nzito: Atuhumiwa kutumiwa na mkewe kwa maslahi binafsi

    Wapi nimesema
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu katika kashfa nzito: Atuhumiwa kutumiwa na mkewe kwa maslahi binafsi

    Sie wote ni wafu watarajiwa yote ajuae muumba
  14. J

    JamiiForums Tanzania Shahidi awatambua Sabaya na wenzake ndio waliwavamia dukani

    Wewe sio Mwanasheria muongo Idadi ya watu ilikuwa ndogo ni vipi usiwatambue watu wakiwa dukani alafu badaye uwatambue kama sio ushahidi wakufundishwa ni nini?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mtatiro arejesha milioni 85 kwa Wananchi

    Wivu na husda vitakuua mazee chapa kazi watoto waende choo
Back
Top Bottom