Recent content by jofika

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    Asante kwa takwimu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

    Ndo 'LIVE' kwa lugha ya Kiingereza
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1998, nini kilitokea mpaka serikali ikaamua kurudia mtihani wa taifa?

    Ulifutwa mwezi Novemba. Mimi ni mmoja wa waathirika. Tulirudia mtihani Januari 13 1999.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Cv PM mteule
  5. J

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Jijini Mwanza: Mkutano wa kuhitimisha kampeni za mgombea Urais wa CCM, Magufuli

    Kura yangu kwa LOWASAAAAAAAA
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kura Yangu Magufuli, wewe Je?

    Kura yangu kwa Lowassa
  7. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa Alala kwenye Msiba, hii ni ishara ya dharau kwa wafiwa

    Magamba hamna jipya. Huyo huyo ndo nitamchagua
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya Lowassa Ngorongoro, Kilindi, Handeni na Tanga Mjini - Oktoba 21, 2015

    Mkuu wa kaya aliahidi kuigeuza Tanga kuwa jiji la viwanda. Kumbe na vilivokuwepo vimekufa? Na katapila linasema "CCM ni ile ile" Kweli wana haki ya kuiadhibu CCM kwa kuinyima kura.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Usichague UKAWA, Usimchague Lowassa, Chagua CCM, Chagua Magufuli, Chagua Amani

    Na haya ni ya UKAWA? Manati na kisu ni silaha za kivita? CCM kweli mmekuwa chui wa karatasi. Mnaleta magari ya kijeshi mnaogopa manati. Mimi kura yangu kwa UKAWA.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Breaking News-TAKUKURU Kagera yanasa vitambulisho vya kupigisha kura,yadaiwa kuna ununuaji shahada

    Inasemekana katika mitaa ya Kashai Bukoba kuna watu walikuwa wanapitapita kwa vijana na kuwauliza watapigia kura chama gani. Kama ni kile kikongwe basi kadi hamna shida kama ni hiki cha 'mabadiliko' basi unapewa kati ya 20,000/= na 40,000/= na kukabidhi kadi yako.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

    Jamani nasikia sehemu kubwa ya mkoa wa Kagera iko gizani sasa.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Taharuki ya kushindwa vibaya kwa CCM yatanda kwa makada wake

    Tuwasubiri waje wayasemee
  13. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Bukoba Mjini, Kagera - Septemba 21, 2015

    Kielelezo: waliotoka Maruku. Ikumbukwe kuwa kabla ya Buloba mjini alikuwa Maruku. Wote hao walipelekwa tena Manispaa ya Bukoba.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Bukoba Mjini, Kagera - Septemba 21, 2015

    Jamani! Jamani! Mleta uzi na picha. Naomba utengue kauli yako. Badala ya kusema "wakazi wa manispaa ya Bukoba" sema "WATU WALIOSOMBWA KULETWA MANISPAA YA BUKOBA". Nina ushahidi kuwa malori kwa mabasi yalisomba watu toka Muleba, Nshamba, Kamachumu, Kishuro, Izigo, Katoro, Ibwera, Maruku, Kyaka...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Sababu za Lowassa kutopiga kampeni baadhi ya wilaya za Kagera

    Lowasa alipokuwa Kamachumu akimnadi mh. Dunstan Muta mgombea udiwani kata ya Kamachumu. Dunstan alikuwa diwani wa Kamachumu kwa tiketi ya CCM kipindi kilichopita. Sasa kavua gamba na kuvaa gwanda.
Back
Top Bottom