Recent content by Jof3

  1. Jof3

    JamiiForums Tanzania MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

    Yanga amepata mke ?
  2. Jof3

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

    The best comment ever
  3. Jof3

    JamiiForums Tanzania KERO Siku ya tatu hatuna umeme Vikindu Kilongoni

    Bado leo siku ya nne Oo
  4. Jof3

    JamiiForums Tanzania KERO Siku ya tatu hatuna umeme Vikindu Kilongoni

    Bado leo siku ya nne sasa
  5. Jof3

    JamiiForums Tanzania KERO Siku ya tatu hatuna umeme Vikindu Kilongoni

    Walitaka Elfu tano Kwa wale waliokuwa karibu pale, sasa nyumba hazina umeme karibia 50 watoe hela watu 4 ? Watu wakagoma
  6. Jof3

    JamiiForums Tanzania KERO Siku ya tatu hatuna umeme Vikindu Kilongoni

    Ndugu zangu wana JamiiForums huko kwenu Hali ya umeme ikoje baada ya mvua? Huku kwetu tuna siku 3 mfululizo hatuna umeme maeneo ya vikindu kilongoni tumeshapiga simu weee jamaa wamekausha. Wengi Kula yetu inategemea ufanye kazi kwenye computer ndio upate riziki. Sijui hawa jamaa wanashida...
  7. Jof3

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Wananchi waomba Shughuli zote za DP World kwenye bandari za Tanzania zisitishwe hadi kesi itakapomalizika

    Heee toba. Kwahiyo tunajadili kilichokwishafanyika
  8. Jof3

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Hata hii ni comment pia
  9. Jof3

    JamiiForums Tanzania Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

    Kama vipi aje Simba tumpe million 50 kwa mwezi aendelee na maisha yake
  10. Jof3

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Wasafi TV app ikiwa na channel zaidi ya 11 za sports

    Link haionyeshi kwenye play store it keeps on loading....
  11. Jof3

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Lenovo laptop for sale

    Battery life
  12. Jof3

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Momba, David Silinde rasmi ahamia CCM

    Jipya ni la mbowe kulewa mpaka kuanguka
  13. Jof3

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Momba, David Silinde rasmi ahamia CCM

    Lissu yuko njiani kuhamia.
Back
Top Bottom