Recent content by joett

  1. joett

    East Africa Got Talent ? #EAGT

    Kwa waimbaji ambao wangependa kujiandaa kwa #EAGT ninatowa msaada online. karibuni https://joettmusic.blogspot.com/2018/09/jifunze-kuimba-na-joett-online-kupitia.html
  2. joett

    INAUZWA New Book: 101 Letters from a Vocal Coach

    You’ll find tons of helpful tips and articles for singers in my new book 101 Letters from a Vocal Coach, now available in paperback from Amazon, Barnes & Noble and Lulu. For more info and for local orders, please follow my social media handles in book cover.
  3. joett

    Jifunze Kuimba na Joett Mkito Vol. 1

  4. joett

    Hawa Wanachama wa JF wasiopost chochote wapo kweli?

    Mimi ni mmojawapo. (Aibu). Niko hapa toka 2013. Maajabu. Heri ya mwaka mpya jamani.
  5. joett

    Najua kuimba lakin sina wa kunisaidia kutoa nyimbo!

    Mziki umekua na ushindani mkubwa sana hapa bongo. Sidhani kama kwa ku-post tu hapa na kusema unachokipaji cha kuimba kunatosha kukupatia mdhamini. Unachohitaji kufanya ni kutafuta wadau ambao watakusikiliza. Kwa bahati nzuri, sikuhizi kuna WhatsApp ambayo unaweza kuituimia kupeleka demo ya vocal...
  6. joett

    Chidi Benz ampiga Ray C

    Makubwa. Sina hata lakusema. Duh!
  7. joett

    Hello!

    Ahsanteni sana
  8. joett

    Mrembo wa Kiafrka, Wimbo Mpya toka kwa 3G

    Vijana wakitanzania watatu wajulikanao kama 3G, wakombioni kuachia singo yao ya kwanza, Mrembo wa Kiafrika. Vijana hawa, ambao wali rekodi singo hiyo mwaka jana ni G Fullah, Frankie G na Oz Bitala. Tafadhali sikiliza track hii, na-tungependa maoni yenu. Download free MP3: 3G - Mrembo wa...
  9. joett

    Jifunze kuimba

    Je, ungepepnda kujifunza kuimba kama pro? Kama unamaswali kuhusu sauti yako na kuimba, na ungependa nikusaidie, nina CD na video maalum nimetengeneza (tembelea Joett's Music Blog) kwa ajili yako kukusaidia wewe kusawazisha ama kurekebisha linalo kushinda ama linalokupa matatizo kwenye...
  10. joett

    Hello!

    Wana Jamii, mimi naitwa Joett. Napenda kuwasilimia tu hapa. I look forward to posting and getting to know you guys. Joett
Back
Top Bottom