Next time weka kabisa definition ya MTOTO WA MJINI kwenye MAIN TOPIC hapo juu maana watu wanatumia muda mwingi kubishana kuhusu KUZALIWA mjini kitu ambacho naamini haukumanisha hivyo.
Nyerere kwani alitoka butiama straight kuja mzizima??ama alitokea tabora alikokuwa anasoma na kufundisha..kinachowapa tabu ni neno "KWAO " ..ni kama mtu akisema nimetoka ZANGU kanisani ..kwani kanisani ni yake??
mnyama mkubwa kuliko wote duniani??!!!!! (tone 80) wakati nyangumi mtoto tu ana ulimi wenye uzito wa tone3...wakati huo huo nyangumi mkubwa ana kama tone 209 kwa wastani (blue whale)
Wazee wako hivyo ..ushauri tutaupata wapi..na iweje mzazi unajiingiza kwenye malumbano ya watoto huku ukimtetea mwanao ni upuuzi..ukirejea hata interview alofanya na zamarad aliongea pumba tu..KWA MANENO HAYO YAMETOSHA KUMVUA NGUO MWENYEWE KABLA HATA YA KUCHORWA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.