CHADEMA ya sasa sio kama ile ya 2010...

CHADEMA ya sasa sio kama ile ya 2010...

Ndg matumaini yangu ni wazima na mnaendelea vizuri katika jukumu la kujenga taifa.

Nimejaribu kutafakuri hali ya kisiasa ya Chama kikuu cha upinzani kati ya mwaka 2010 na hivi sasa kiufupi naona kuna pengo kubwa sana yaani namaanisha CHADEMA ya 2010 ilikuwa na Nguvu mno ukifananisha na hii ya leo.

Sijajua nini tatizo ila sio mbaya kama wana jamvi tukae chini na tutafakari kwa staha na unyenyekevu ili kujua kipi kimesababisha CHADEMA kupoteza Nguvu iliyo nazo kipindi hiko,,,naogopa yasije kuisha kama ilivoisha NCCR.

Ni fikra zangu naomba zisinishurutishe..

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Wala hujakosea. Hata slaa ilo analitambua.

Kwanza lana ilianza kukishukia chadema kilipotaka kiingie Ikulu kupitia Kanisani,wanajua walichofanya.kwa vifaranga hapa wataishia kutukana ila wenye vifaranga a.k.a manguri ya uhafidhina wanajua walichofanya.

Pili,lana ilizidi walipoamua kumtengenezea fitina zitto ili wapate uhalali wa kumtoa kwenye saccos ya homaini wa tengeru.

Hizi ndio sababu kubwa sana sana zinazokitafuna. Na kinakufa rasmi baada ya uchaguzi ujao.
 
Hoja zenye tija na hamasa pia naona zimepotea ghafla ktk vinywa vya viongozi wetu kitaifa na Zitto pia ameacha pengo kubwa ambalo halikutegemewa.ila cha msingi ni kujipanga upya na kutatua matatizo ktk njia za staha na msingi sio tu kukurupuka na kuharibu hekima.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ndg matumaini yangu ni wazima na mnaendelea vizuri katika jukumu la kujenga taifa.

Nimejaribu kutafakuri hali ya kisiasa ya Chama kikuu cha upinzani kati ya mwaka 2010 na hivi sasa kiufupi naona kuna pengo kubwa sana yaani namaanisha CHADEMA ya 2010 ilikuwa na Nguvu mno ukifananisha na hii ya leo.

Sijajua nini tatizo ila sio mbaya kama wana jamvi tukae chini na tutafakari kwa staha na unyenyekevu ili kujua kipi kimesababisha CHADEMA kupoteza Nguvu iliyo nazo kipindi hiko,,,naogopa yasije kuisha kama ilivoisha NCCR.

Ni fikra zangu naomba zisinishurutishe..

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

hakuna chama kinachongelewa kwa wingi huku jamii foruma kama chadema

  1. Act is try to negate the chadema's good things
  2. wewe upo kwenye gari lako ikaiwaza chadema
  3. ccm hawalali pasipo kuiwaza chadema
 
Yaani abakorakamoi unakaaga standby kudaka na kupreempty uzi wowote unaohusu CHADEMA???
Hivi unalipwa Tshs ngapi na MaCCM??
Nyinyi ndo mnatuharibia chama, kuwaingiza watu chaka, hamuwezi kutawala milele ujue, mna mwisho wenu, upo karibu!!
 
Last edited by a moderator:
Huyo babu mwenye koti na kofia ndio Mtei

mbowe.jpg
 
Tatizo kubwa la CHADEMA ni ukabila na udini
 
Mtu yeyote mwenye ubongo unaofanyakazi vzuri tz Na hasa kjana makin...Ni lazma aishabikie cdm ktk maisha ya safar yake yote dunian.sizungumzii mwanaharakati..mwanamapnduz wala mageuz Bali aliye timamu.Tzia Ni tayar taifa lenye tabaka kubwa...mbumbumbu pekee utabaki Ccm kama watu Wa kalenga Na kesho chalinze Ni ubwege ambao dhamb yake itashugulikiwa Na mapnduz ya kjesh in the near future trust...tuache blah blah tukubali mabadiliko no matter what???
 
Kaka unakosea sana unapo muita mwenzio mbumbumbu kisa yupo mlengo mwengine.....jaribu kutafakari juu ya maandishi yako hapo juu!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
CHADEMA INA VIONGOZI NA WABUNGE WANAOJIONA KWAMBA WAO NI BORA NA WASOMI KULIKO WATU WOTE. BADO HAWAJAJUA TOFAUTI YA RAIS WA NCHI NA RAIS WA CHUO.
HUWEZI UKQWA NA WABUNGE 23 WA KCHAGULI HALAFU UKAJIONA KWAMBA UMESHA MALIZA KILA KITU.Kosa la kwanza walilofanya ni kuwatenga wapinzani wenzao baada la uchaguzi wa mwaka 2010 .Walosahau kuwa wakati CUF ilipokua inaongoza upinzni walishirkiana na wabunge wote na kujenga bunge lililompa spika 6 heshma kubwa.
Nawashauri Chadema watafute mgombea mwingine au wamtoe Slaa kwenye ukatbu mkuu.Viongozi wakubali kukosolewa bila kijenga chuki. Shindaneni kwa hoja ndani ya Chama.Mambo ya kufukuzana yalikua enzi za Nyerere wakati wa Chama kimoja tu ambacho pia kilikua madarakani na vyombo vya habari havikia vingi.
Leo hii mkimfukuza mtu mnampa umaarufu. Hasa kama ni sababu za kupishana kihoja .
Ni kweli kwmba kuna watu wameingia kuharibu chama kwa kutumia maguvu bila busara kama alivyofanya Wasira wakati wa NCCR MAGEUZI.
 
Back
Top Bottom