Recent content by Joelmarco39

  1. Joelmarco39

    The Greatest Man in Universe: Kijana mdogo aliyefanya makubwa na kuacha alama akiwa na umri mdogo

    Yesu ni mfano hai na wa kuigwa kwetu maana pia alikua na Uungu ndani yake sioni mtu mwingine wa kumlinganisha nae.
  2. Joelmarco39

    Kigezo cha kuoa mwanamke ambacho watu wengi hawakitilii maanani lakini ni muhimu sana

    umeongea kitu sahihi kuna wengine watabisha lakin kama kweli upo serious katika kutaka kuingia kwenye ndoa hivyo ni vitu vya msingi sana kuweza kuviangalia.
  3. Joelmarco39

    Nawakumbusha tena kuwa Makonda sio mdogo kama wengi tunavofikiria

    Watz unafiki na roho mbaya vitatumaliza maana mtu anapofanikiwa anasemwa vibaya sana ili ashushwe pale alipofika katika mafanikio kuna hatua nyingi na ndefu..nampongeza kijana mwenzetu makonda maana anaonesha ujasiri na uthubutu mambo mengine ni suala la kujifunza hakuna mtu ambaye akosei.
  4. Joelmarco39

    Remove sex from a relationship, women have nothing to offer. Is it true?'

    Exactly its true for most of girls especially Tanzanian apart from sex they have nothing to offer.
  5. Joelmarco39

    Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4

    Daaah serikali inashindwa kuhakikisha usalama wa raia na mali zao kila siku raia wanatekwa inasikitisha sana...
  6. Joelmarco39

    Wasifu wa Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi au Klynn

    maskin pole yake kwa kumpoteza mume wake kipenzi R.I.P Mengi
  7. Joelmarco39

    GE2020 MBUNGE wa Ukonga (CCM), Mwita Mwikabe Waitara, ameanza kampeni za “kumdhoofisha” na hatimaye kumng’oa, John Heche (CHADEMA) Tarime Vijijini 2020

    Ngoja tutazame lakin sifikirii kama wakurya wanaweza wakampa waitara kirahic hivyo maana wakurya wana misimamo yao.
  8. Joelmarco39

    Mada maalum kwa wanandoa

    duuh ndoa zinachangamoto sio mchezo.
  9. Joelmarco39

    Video:Kwa hizi ngumi walizopiga Yanga hatua gani zinaweza kuchukuliwa

    wewe ujaangalia mpira ndo maana unaongea hivyo kakolanya anusikaje kwenye kufungwa yanga.
Back
Top Bottom