Recent content by joe.

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Alibaba: Jinsi ya kuuza bidhaa, Hapa siibiwi kweli?

    Samahani, by LLC una maanisha nini? Limited Liability Company? Tafadhali kama hutojali, unaweza kushare experience ya jamaa yako?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Alibaba: Jinsi ya kuuza bidhaa, Hapa siibiwi kweli?

    Sounds intersting..ngoja nijifunze zaidi kuhusu hii kitu pia.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Alibaba: Jinsi ya kuuza bidhaa, Hapa siibiwi kweli?

    Hbari zenu ndugu zangu. Nilihamasika juzi kati nikapost bidhaa yangu huko Alibaba. Sasa suala ni kuwa nimepata prospective client anataka mzigo huo lakini kwa kiwango kikubwa kuliko hata uwezo wangu wa kusupply. Haina shida nitaoutsource kwa kuwa nahitaji dili. Tatizo ni kuwa kuna red flags...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Ila jamani kiukweli nilichojifunza usije kupanda fastjet nawewe ukasema umepanda ndege. Halafu ukaenda kupanda ndege zenyewe za kimataifa na maconfidence yako uloyatoa fastjet ni utaumbuka!!!!!! Yani zile ni ndege, halafu fastjet ni mabasi yanayosafiri angani. Wenzetu wana state of the art...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    karibu xiexie
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wakali wa umombo JF...

    mh mgema akisifiwa sasa,tembo hulitia maji! Kiranga
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A girl in Mwanza or Musoma

    Hello, İ just moved here and was looking for some fun and adventures. İ am looking for a girl company that would make my stay comfortable/fun. Coincident,İ am single too and so i thought to myself ain't bad if i get a date too. The girl should be 26 or younger.Single and...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuagiza samaki Mwanza

    Salaam. Niko Mwanza kikazi. Kesho narudi Dar. Ndugu wanataka niwaletee samaki wa huku sato na sangara. Je nawapata maeneo gani? Bei ikoje? Na gharama za kusafiri nao Fast Jet zikoje? Nasafiri mchana so nataka asubuhi kesho nikanunue. Msaada tafadhali.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    karibu dada
  10. J

    JamiiForums Tanzania Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    baada ya gradu yangu chuo.Tukarudi mkoa na maza. Fastjet ndo imeanza.Nı mara yetu ya kwanza wote. 1. Mama anataka kukaa akakuta juu ya siti sehemu ya mizgo kuna mtu kashaweka wake.Akatia,"wee kondaa,we kondaa wéeh,hebu njoo kwanza" 2. Nikajaribu kwenda choóni japo sijabanwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Hahaha
  12. J

    JamiiForums Tanzania Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Karibu kaka.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Kuna mtu alipiga magoti Amsterdam wakati wanaunga ndege waende switz. Haya ni maneno waliokuwa karibu walimsikia akisema. "Eh baba! ushukuriwe kwa kunifikisha huku juu mbinguni baba! duniani dhiki na shida nyingi baba! Mweh ndaga mwalafyale mweh"
  14. J

    JamiiForums Tanzania Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Baada ya graduu yangu chuo.Tukarudi mkoa na maza. Fastjet ndo imeanza, mara yetu ya kwanza wote. 1. Mama anataka kukaa akakuta juu ya siti sehemu ya mizigo kuna mtu kashaweka wake. Akatia,"wee kondaa,we kondaa wéeh, hebu njoo kwanza" 2. Nikajaribu kwenda choóni japo sijabanwa alimradi tu nione...
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    Sjui kwanini bado siamini.
Back
Top Bottom