Mkuu, mi si mtu wa siasa sana ila hao jamaa wanapost/ kukomenti kitu kinafikirisha kwamba ni kusudi kuvuruga si kwamba hawajielewi/hawaelewi wanachokifanya, nilifatilia nikaona kumbe hufanya kwa makusudi na sababu ndo maana nikawaignore...ni vile wakomenti wafikiriavyo kuharibu mjadala. Baadae...
Mkuu ukivaa Tshirt imeandikwa FREE TUNDU LISSU sidhani kama utamaliza wiki na ukiwa ndo mwenzangu na mimi chap wanakudaka na utapewa kesi ambayo hujawahi waza kuitenda.
Kuogopa kifo ni asili ya mwanadamu. Hata wewe sahizi unaogopa kifo so, kupambania kwake haki hakuondoi yeye kuogopa kifo.HATA WEWE UTAKUFA YAWEZEKANA VIBAYA KULIKO LISU! POLEPOLE alikuwa anajimwambafai kwamba CCM wanatembelea magari ya thaman kuliko wengine...aliwabeza sana wapinzani na hakuwahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.