jamani kama matokeo yalivyoonyesha wadogo zetu wamefeli sana hasa katika shule za kata,,je,wote waliofeli wataenda wapi??naombeni mchango wenu wanajamii...:A S-confused1::help:
as far as I know ni kwamba Rais anatudanganya kwasababu wabunge walishaanza kulipwa tangu kikao kilichopita na zilianzaje kutolewa kama hazikubarikiwa na Rais? Rais hana msimamo.......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.