Uteuzi wa Sioi batili - Wajumbe UVCCM Arusha

Bado wanashikilia kadi za ccm? Wanangoja nini kuhamia chama makini chadema?
 
Haya tuliyategemea mapema,na ni kawaida ya CCM wala si ajabu,hawa vijana wanaojifanya wanastuka leo ni unafiki na umbea,chama chao rushwa imekuwa ni sehemu ya maisha yao na ndio maana wameingiza utaratibu huu mpaka kwa serikali yao...Na kama wakitaka kuja CDM wasije kwa kuwa wameshindwa kwenye uchaguzi,waje na sababu za msingi kwanini wanataka kuwa wanachama wa CDM...
 
Swala la rushwa linamnyima mtu haki yake, si kitu kizuri sana, hivyo siwezi kugombea uongozi CCM mpaka niwe na pesa za kuhonga, hii ni mbaya sana naomba iachwe na hatua kali zichukuliwe kwa wahusika
 
Aseee kenedy danford endeleza vita iyo chadema tunufaike.halafu mshkaji wako mosses john hatunae tena,ame R.I.P
 
huwa najiuliza aina hii ya rushwa unapewa hela halafu unaenda kupiga kura mwenyewe kwani umeshikiwa bunduki umpigie mgombea wanaomtaka!?si una kula tu hela halafu unampigia umtakae?watakubana wapi?rushwa hatari ktk chaguzi ni ile ya kuuza shahada ya mpiga kura!hizi nyingine watu wanatakiwa kama pilau wale,vitenge wachukue,pesa walambe lakini ktk sanduku la kura namchagua nitakaye ili iwe fundisho kwa watoa rushwa!
 
Kwa nini jamaa anaitwa Sioi?

ndio jina lake!nadhani kwa usahihi linaandikwa Sioy!halina uhusiano na maana ya sauti unayoipata unapolitamka!and he is married by the way!ni kama jina la kihindi Rajiv Kumar!au la kijapan Takauchi Kumatoto!au la kichaga Fidelis Mboro!
 
Shida tulizosababishiwa na utawala usio bora ndo zitatumaliza.
Nani awe mzalendo kwenye nchi iliobaki matobo matupu?
 
Mpumilwa huyu ni jamaa wa mbeya katoka wapi na wameru hivi mmeru anaweza kwenda
kuwachaguklia mbunge wanyakiusa wa mbeya ????????????
 
CCM na rushwa ni kama kuku na yai, huwezi jua kipi kilianza!
Nilishawahi kuandika kuwa kwa CCM rushwa haizuiliki wala haitaisha hivi karibuni ni given kama PIE, hata Takukuru wanalijua hilou kiwauliza watakuambia hawakuona kitu usipoangalia wanaweza kukugeuzia kibao. Igunga walikuwa wakiitwa na wasamalia wema walichokuwa wanakifanya ni kumpigia simu mtoa rushwa kuwa kuna mtu amekuona sisi tutakuja saa fulani.
 
Back
Top Bottom