Recent content by joe chikalumbe

  1. J

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Kuwa na torrent kwenye laptop na nadhani unayo, kwa sababu za uzi wako uendelee ngoja nijibu tu. Google hizi website torrent, piratebay.org rargb.movie kickass torrent, yts torrent, otorrent, ziko nying sana hizo ni za movie Hd na latest, kushusha hizo movie sio la kuelekezwa najua uko smart enough.
  2. J

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mara nying inakuwa vitu vitatu, battery imechoka, oil unayotumia sio sahihi hivyo kusababisha hilo kutokea, weka oil sahihi ya nissan, na mwisho inawezekana kuna unyevu au maji kwenye line ya mafuta, hivyo flush line na tank liwe safi kabisa kisha weka mafuta mapya, kwa hayo tatizo litakuwa...
  3. J

    Msaada ushauri kuhusu nissan murano

    Kabla hujaagiza angalia taa ya check engine, nyingi taa zimewaka kuashiria tatizo, ila kama utatumia mwenyewe zingatia service na oil sahihi,
  4. J

    Car air conditioning dangerous!

    Muhamadi aliishi miaka 61, yesu 35, wewe unataka ufikishe miaka mingapi? Unakonywa soda, ukiwekwa sumaki tumboni hapo inaganda ugali ulokula una vyuma vilivyotoka kwenye mashine ya kusagia unga, gas upikiayo, nk hivyo usitake kusema cancer kushoto ukasahau kulia, acha watu waishi vizur wote...
  5. J

    Nissan xtrail inatumia mafuta kiasi gani kwa uzoefu wako

    Hakuna xtrail ya kupata km hizo, nying ni 8- 9 kwa wastani, na ni reliable kuliko rav 4, au compact suv zingine. Kikubwa ni matunzo ambayo ni service kwa wakti, usafi, na hakikisha hutembelei kidebe hayo tu.
  6. J

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari za week end wandugu? Naomba kupata uzoefu kwa mwenye Nissan murano, Nimezifatilia hizi gar nimependa ukubwa wake na nafasi ilonayo ndani. Ila nilisoma uzi mmoja wa nje kuwa zina shida sana katika gear box na umeme yani haziko reliable kama prado au x trail. Mwenye uzoefu nazo tafadhali...
  7. J

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ilitakiwa uongeze oil na sio kubadili, mie ilinitokea kwenye prado sx, ilikuwa kubadili gear mtihani inabd ukanyage kwel, lakin baada ya kufanya safar ndef ikarudi kawaida, baada ya kuanza kudadisi shida ilikuwa kutoa oil yote. Hivyo vizur kuongeza na sio kubadiisha yote.
  8. J

    Nissan xtrail inanitesa.

    Hiyo check air flow meter, au njia za upepo, njia ya fundi wako kujua ni kuwasha gar anapuliza spray kwenye kila maunganusho ataona ni wapi inavujisha upepo kwenye engine, nadhan ni hilo niliwahi ona garage gar ilokuwa na shida hiyo ikirekebishwa kwa vitu hivyo viwil.
  9. J

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Tribute ninayo, spare ni mtihani ingawa unaweza tumia mda mref sana bila shida. Mafuta ziko kama gar zingine kwa size yake inapiga km7 lita moja. Kama unanunua jiandae hayo
  10. J

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habar zenu wandugu, naomba kujua bei ya cabin air filter ya toyota brevis.
  11. J

    Bei za magari mbalimbali showroom

    Inategemea na ya mwaka gan, lkn nying hapa bongo ni 2006 kuja chin. Elf 4 kuja juu hiyo haitosh lkn elf 2 na tatu chini unapata agent fee na gharama zingine za bandar na wese la kufkia chunya
  12. J

    Mwelekeo wa hali ya Uchumi: Tanzania itatoboa?

    Yah na pia hata lengo hakulifkia, alitaka tununue 1800 lakini hiyo yake anauza elf 2. Ss point ya kukatataa bei ya mwanzo sijaipata bado. Ss hv kuna mazao yanasuasua sababu wanunuzi wamekumbatia pesa zao, hivyo badala ya kumboresha mkulima anamkandamiza mkulima.
  13. J

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hello mshana asante sana kwa kutujuza khs magari. Nnaomba kufahama hizi jeep grand cherokee ya mwaka 2002 ina tumia mafuta kiasi gan kwa matumiz ya hapa dar? Na pia oil filter zake ziko bei gan na gharama za service kwa ujumla kama naweza jibiwa itakuwa vzr, nina mpango wa kununua cc 4000.
Back
Top Bottom