Naomba kupitia huu uzi tufahamishane bei ya aina mbali mbali za magari showroom za hapa Tanzania
Magari yote ya show rooms za hapa Tanzania yamechoka tuka huko yalikotoka, yaani yameletwa huku Bongo kuja kufa tu. Yanasafishwa vizuri na kupakwa rangi huku odometer ikishushwa kupunguza mileage/kilomita. Ukiingia kichwa kichwa unapigwa bei ya hajabu. Kama una hela zako za uhakika bora ununue gari jipya tu toka majuu.
Mkuu hiyo bei ni kwa rav4 old au new model???15m haitoshi kuagiza japan labda uongezee mbaka 17-18m
Asante mkuu.Inategemea na ya mwaka gan, lkn nying hapa bongo ni 2006 kuja chin. Elf 4 kuja juu hiyo haitosh lkn elf 2 na tatu chini unapata agent fee na gharama zingine za bandar na wese la kufkia chunya