Nauza hio pikipiki bei ya kutupa (ukita kadi isome majina yako ni ndani ya saa 24 tayari kadi inasoma majina yako)
Imetumika kwa matumizi binafsi haijafanya kazi ya boda boda
Bado haijaguswa na fundii
Bei yake ni nafuu saana yaan 900,000/=tsh
Napatikana Dar es salaam, Magomeni-Mwembechai...
kafanye kazii watu wana degree za medicine wanafanya umachinga wewe unaogopa nini
kama vipi nipe hio meza nikapige kazii japo nina bachelor , bachelor haina maana kama huna hela*
inabidii niingee roho ngumu kama hii, maana ukiwa na mpenzii hela zako ni zake , lakini zake ni zake pekee, ukimukopesha hakupii aise , mi mwenyewe ni mhangaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.