Ninatak kusoma masters nchi yoyote ilmradi nje ya nchi,nina gpa of 3.3 kutoka flan hap tz na nina bachelor of science with education(Ict/Math),ninapend san ict,naomben ushaur kwa wale weny uzoef
Jamani naombeni wenye uzoefu mnisaidie hasa kweny utaratibu wa kubadilishana kwa walimu
Mi ni mwl ktk h/shaur flani,nimempata mwl wa kubadilishana naye,nimeandka barua kupitia headmasta kaniambia hawez kunipitishia mpak afsa elim akubal kwanz,nimeongea na afis elim na kusema iyo haiwezkan eti...
Kwa mwl anayependa kufanyia kaz mkoa wa kagera-bukoba nafas i imepatikana ila uwe unatoka ktk mikoa hiz;
manyara
arusha
k/njaro-moshi mjin
idar sek,0789282235
Wana JF habarini!
Naomba msaada kwa mwenye kufahamu sehemu/duka wanakouza laptop kwa bei nafuu huko Mwanza. Nahitaji HP630 core i5, HDD 500GB, RAM 4GB na bei yake plz.
Thanks!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.