Mfuko pekee ni LAPF. Usidanganyike na hao PSPF wazushi tu, siasa nyingi sana tatizo lao.
Acha kumpoteza mwenzio. Ongea kwa hoja na sio unaropoka tu. Do not mess with someone's life.
Wewe ndo unampoteza and u r messing with his life..usimtumbukize shimoni hatoweza toka..karibu kwa hoja.
Nina shaka na uelewa wako au ni ushabiki wa mfuko fulani rudia kusoma cag report kuhusu mifuko ya jamii na comments za J.K kuhusu hilo labda unaweza ongeza ufahamu wako..Huo mfuko upo ICU, hata mkuu wa kaya kupitia ripoti ya CAG kashathibitisha hilo. Acha kumrubuni mwenzio..try to be real.
Achana na mifuko hiyo. We chukua package yote fanyia biashara tu. Kwanza unajuaje kama utasitaafu hujafa??? Maisha yenyewe mafupi hivi. Kama huwezi kufanya biashara anzisha mfuko wako wa kibubu. Hao wengine wanaokushauri hayo mamifuko, sijui magunia wanakupotosha tu.