Sina taaluma yoyote
Elimu yangu form 4
Miaka 33
Kutokana na kuhangaika nimefanya usaidizi wa kupaka rangi, kufunga mabodi na kujenga( sijaiva kiasi cha kuwa mtaalamu)
Ila ikitokea kazi nyingine ambayo mtu yoyote anaweza kuifanya nitafanya pia.
Sichagui kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.