Recent content by Job seeker 2

  1. Job seeker 2

    Nimekubali kazi ya ualimu ni ngumu

    Hello wakuu wa JF awali ya yote niwasalimu wakubwa kwa wadogo habari za muda huu! Bila kupoteza muda nimekuja hapa ili kutoa wazo langu la kuanzisha HOME Tuition kwa wakazi wa Dar es salaam ili kuwasaidia watoto wao ambao hawafanyi vizuri Darasani na wale wanaosoma masomo Ya Qualifying Test...
  2. Job seeker 2

    Kioo cha laptop kilichovunjika chaweza kutengenezwa..??

    Pc yangu imepata cracks na wino hivyo natafta used monitor niunganishie walau nitumie
  3. Job seeker 2

    Kioo cha laptop kilichovunjika chaweza kutengenezwa..??

    Screen monitor used ni shiling ngapi mkuu
  4. Job seeker 2

    Natafuta monitor ya desktop

    Hivi mkuu mfano pc yangu imepata crak na kumwaga wino naweza kutumia monitor ika display bila shida?
  5. Job seeker 2

    Natafuta monitor ya desktop

    Mkuu nina 30,000/=
  6. Job seeker 2

    Mwalimu wa hesabu natafuta kazi

    Mwalimu wa Mathematics njoo
  7. Job seeker 2

    Mwalimu wa hesabu natafuta kazi

    Mkuu namimi niko vizuri Biology and Geography Level yangu ya Elimu Degree
  8. Job seeker 2

    Nafasi za kazi website promotion

    Mshahara ukoje? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Job seeker 2

    Naombeni kazi yoyote iliyo halali jamani, nina ari mbaya

    Mkuu nipe hyo fursa nijitaftie kipato maana kukaa bila kaz n tabu tupu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Job seeker 2

    Natafuta kazi ya ualimu(mathematics)

    UPDATES! MWALIMU WA BIOLOGY NA GEOGRAPHY BADO NATAFTA SHULE YA KUFUNDISHA Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Job seeker 2

    Walimu wawili kwa ajili ya Tution wanahitajika, kwa masomo ya sayansi

    Mwalimu wa biology niko hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Job seeker 2

    Tahadhari kwa walimu wanaotafuta kazi

    Alishakutafta nawewe mkuu? Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom