Natafuta kazi ya ualimu(mathematics)

Kama kweli uko vizuri kwenye mathematics ya A-level (Advanced maths & BAM),andaa CV na peleka katika shule zilizopo Mkoani Kilimanjaro na Arusha;natumai utapata pa kuanzia.
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitawacheki mkuu nijaribu bahati yangu
 
Mkuu sio kazi rahisi kama unavyodhani....but nikiwa kwenye ajira naweza kutunga vitabu coz hata huo mtaji nitaweza kuupata

Na sio ngumu kama unavofikiria, inawezekana munatishwa tu ili muogope watu wapige hela. Lakini ukiwa na mtaji wa milioni 1 tu basi unaanza uzuri sana!
 
Umemaliza chuo gani? Na mwaka gani haya ni maswali muhimu kuyajibu hapa hapa bila DM
 
Umemaliza chuo gani? Na mwaka gani haya ni maswali muhimu kuyajibu hapa hapa bila DM
Mkuu nimefutilia comment zako humu jukwaani....siwezi kukujibu hili swali lako sababu ni mtu usiye na msaada wowote zaidizaidi ya kuwadhihaki watu haswa wanaotafuta ajira...acha ambao hawana haja ya kujua nimemaliza chuo gani na mwaka gani wakitokea watanisaidia na wakihitaji hizo details nitawasiliana nao na kuwatumia...kwa wewe hapana mkuu sihitaji msaada wako wowote....sorry kama nitakuwa nimekukwaza
 
Na sio ngumu kama unavofikiria, inawezekana munatishwa tu ili muogope watu wapige hela. Lakini ukiwa na mtaji wa milioni 1 tu basi unaanza uzuri sana!
mkuu hiyo milioni moja kwangu mimi ni pesa kubwa sana....but ahsante kwa maoni yako umenifungua akili
 
Tanganyika schools wametoa nafas ya ajira wachek wanalipa vizur kuanzia m1 take home
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom