Iko vizuri kabisaa material ni chuma sio aluminium, nzito kabisa. Sasa hivi niko busy na mambo mengine ila nikitulia nitaitumia
Cha pili kabla hujanunua fanya tafiti wapi utapata material yakutengenezea tofali hizo
Hawa Exim bank nina card yao ya prepaid, ukishadeposit huchukua muda kureflect kwenye bank account
Nilishawahi kufuatilia mwezi mzima pesa haikuwa inaonekana kwenye account.
Nadhani kuna jambo hujalifahamu. Kibali cha ujenzi kinatolewa na Halmashaur ya eneo husika mfano site yako iko Kinondoni basi kibali cha ujenzi utaombea hapo. Hapa huwa specific wanasimamia ujenzi holela,
Hawa watu wa fire na OSHA wao kazi yao ni kuhakikisha taratibu zote za usalama kwenye...
Fire and OSHA compliance ni takwa la sheria kwa miradi yote ya Ujenzi (Hapa huwa wanatarget miradi mikubwa mikubwa) . Hapo unapotakiwa nenda kasajili mradi Fire gharama ni tsh 200,000/=, OSHA kusajili mradi ni bure kabisa.
Unachotakiwa kufanya waite haohao fire wakague site yako, watakupa...
Nilienda tigoshop ya mkoa mmoja hivi, hitaji langu lilikuwa kuungwa hivi vifurushi, majibu niliyopewa ni kuwa lazima uwe na business license. Je wewe utahitaji hiyo leseni ya biashara?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.