Recent content by joanfaith

  1. J

    Rais Magufuli amewateua Alphayo Kidata na Simon Mumwi kuwa Mabalozi

    Hamahama ya Alphayo Kidata. Kwa dharau na hujuma alizowahi kumfanyia Mama T alipokuwa Waziri wa Ardhi naye akiwa Katibu Mkuu wake atazunguka sana. Habari za Wizarani zinasema Mama T alimpigia chapuo Kidata kwa Rais Kikwete awe Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi baada ya Katibu Mkuu Rutabanzibwa...
  2. J

    Stella Manyanya acha unafiki wa kujipendekeza

    Stella Manyanya jana anadai anauchungu kuzungumza CHADEMA hawakuzingatia jinsia? Leo anajua kutetea wanawake? Mbona hatukumsikia akisimama kumtetea mwanamke Mwenyekiti wa wanawake CCM Taifa Sofia Simba, aliyefukuzwa uanachama, tena kwa kosa sawa kabisa na wenzie, manake kama ni kutoka nje...
  3. J

    Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Kwanza niwapongeze sana wana Cdm kwa uteuzi mzuri wa wagombea ambao wanakidhi viwango kabisa tena sana. Mambo ya gender ni propaganda tu kwa wasio elewa. Masikitiko yangu ni ujuaji mwingi unao fanywa na baadhi ya viongozi ktk chama na ndio walio waharibia wagombea wa CDM. MUCH KNOWS. Spika...
  4. J

    Anna Tibaijuka Viwanja vyake watamnyang'anya?

    Acha polojo wewe goloko kama jina lako,lete ushahidi au peleka kwa mahakama.Punguza taharabu hazisaidiii,muda wa KAZI TU....Mlio zoea kula kwa maneno yasiyo na tija wala mashiko imekula kwenu
  5. J

    Prof. Tibaijuka akanusha kumiliki Viwanja Kigamboni

    Maelezo yanajitoshereza sawa sawa kabisa,labda tuwachie wazee wa majungu wanao tendea kazi matumbo yao make ndio kazi yaho hapa,bila ivyo mkono hauendi kinywani
  6. J

    Prof. Tibaijuka akanusha kumiliki Viwanja Kigamboni

    Ha ha ha!Utapasuka,chuki haifai
  7. J

    Anna Tibaijuka Viwanja vyake watamnyang'anya?

    Taarifa. Sina plot hata moja Kigamboni. Mwenye ushahidi tofauti aulete. Viwanja vya Kisota ni mali ya ushirika wa wanawake wa nyumba. Viwanja hivyo walipewa na Waziri wa Ardhi aliyenitangulia Mhe John Chiligati. Mimi wakati huo nikiwa UNHABITAT. Jambo moja linalonishangaza na kunisikitisha...
  8. J

    Prof. Tibaijuka akanusha kumiliki Viwanja Kigamboni

    Taarifa. Sina plot hata moja Kigamboni. Mwenye ushahidi tofauti aulete. Viwanja vya Kisota ni mali ya ushirika wa wanawake wa nyumba. Viwanja hivyo walipewa na Waziri wa Ardhi aliyenitangulia Mhe John Chiligati. Mimi wakati huo nikiwa UNHABITAT. Jambo moja linalonishangaza na kunisikitisha...
  9. J

    Prof.Anna Tibaijuka, Jobs

    TAHADHARI!TAHADHARI!TAHADHARI!TAHADHARI! NDUGU ZANGU WAPENDWA,NAPENDA KUWATAHADHARISHA JUU YA UKURASA HUU WA FACEBOOK KAMA UNAVYO ONEKANA HAPO CHINI. UKURASA HUU SIO WA KWANGU WALA SIUFAHAMU,IVYO BASI NA TAARIFA ZOTE ZILIZOANDIKWA KWENYE UKURASA HUU HAZITOKI KWANGU, WALIO TENGENEZA UKURASA...
  10. J

    Prof.Anna Tibaijuka, Jobs

    TAHADHARI!TAHADHARI!TAHADHARI!TAHADHARI! NDUGU ZANGU WAPENDWA,NAPENDA KUWATAHADHARISHA JUU YA UKURASA HUU WA FACEBOOK KAMA UNAVYO ONEKANA HAPO CHINI. UKURASA HUU SIO WA KWANGU WALA SIUFAHAMU,IVYO BASI NA TAARIFA ZOTE ZILIZOANDIKWA KWENYE UKURASA HUU HAZITOKI KWANGU, WALIO TENGENEZA UKURASA...
  11. J

    Ujumbe kutoka kwa Prof. Tibaijuka katika siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.

    My encounter with Mwalimu On Womens Rights and the formation of BAWATA by Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka, Member of Parliament for Muleba South and Founding Chairperson of BAWATA. While I have been for the most part an academic and therefore far removed from political and administrative...
  12. J

    ESCROW sio siri tena, mambo yote hadharani

    Wakuu habari za muda huu,kama ilivyo ada nawaletea facts tupu bila majungu wala upendeleo wowote. Nawaomba tutumie muda tulivu kuyasoma na kuyachambua kwa umakini. Ni hivi,muda wa kuweka mambo yote hadharani sasa umefika,hakuna la kuficha tena...Hili sakata ambalo kila kukicha watanzania...
  13. J

    Gavana Ndulu; Kalasinga PAP alikuhakikishia kama TANESCO itadaiwa, atarudisha fedha za ESCROW

    Mkuu upo sahihi sana,ushabiki wa kijinga ulitupoteza ,watu wakashindwa kuelewa hasa wizi wenyewe wa pesa ulivyo fanyka?? Gavana katika hili hawezi kuchomoka kama kuna watu anawalinda sasa wakati wake umeisha ni zama za ukweli sasa chini ya JPM.Nyakati za kuishi kiujanja ujanja na kulinda wezi...
  14. J

    Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

    Tulikaa kuwabana wasio husika, masikini wengine wakina mama Tibaijuka wakatolewa kafara,wezi wenyewe wapo wanatanua na pesa za wizi na hawaguswi. MPAKA LEO HAKUNA HATA MMOJA ALIYE POKEA PESA TENA AMBAZO HAZIKULIPIWA KODI KABISA KUPITIA STANBIC AMBAYE ANAFAHAMIKA WALA KUCHUKULIWA HATUA DHAMBI...
  15. J

    Ulimwengu: Heaven knows where we are going, but Magufuli knows he can walk on water

    Anna Tibaijuka has always been famous.She was at the UN when she was interviewed by Generali Ulimwengu
Back
Top Bottom