Recent content by Joachim Morgan

  1. J

    Wabunge wetu mbona kimya bei ya sukari kwa wapiga kura wenu?

    Hapo nyuma tuliona viongozi wa serikali wakiwa bize kutafuta kina nani wameficha sukari. Leo kila kiongozi yupo kimya je tatizo limeisha au ulikuwa ni usanii tu. Leo hapa Tabora kilo ya sukari tunanunua kuanzia shilingi 4,000/= mpaka 6,000/= za kitanzania. Kinachonishangaza sukari yenyewe ni ya...
  2. J

    Kinachojiri: Kongamano la BAWACHA Ubungo, Dar

    Makamanda wakipata elimu juu ya BVR iliwaakikishe kila mwanamke anajitokeza kujiandikisha. Hii ndo silaha ya kuwatoa magamba.Picha zaidi zinakija
  3. J

    Order your unlock phone code: 100% money back guarantee

    thanks for your service and be blessed
  4. J

    Order your unlock phone code: 100% money back guarantee

    Huawei Ascend Y530 IMEI 353059029124947
  5. J

    Kampuni za kuajiri watu na kukodisha je, serikali imeshindwa?

    Serikali iliongelea hili jambo na ikasema italikomesha lakini naona bado hii biashara inaendelea. Je, ni kwamba wamewashindwa au rushwa imewazidi nguvu hata RAIS wa nchi hii inadharauliwa na hawa wenye vikampuni uchwara. Naomba wanaojua kinachoendelea watupe majibu.
  6. J

    Mohammed Dewji kwanini haendi bungeni?

    Jukumu la mbuge ni kuiambia serikali ipeleke hayo maji. Je unataka Mnyika atumie pesa yake kusambaza maji?
  7. J

    Je huu si upotoshaji wa Bw.Bulembo?

    Hivi unategemea nini kwa ambaye hamna kitu kichwani kuijadili katiba bila kuogozwa na watu wenye uelewa.
  8. J

    Tanzania na Ajira za Kujuana

    Mbona vilaza kibao wanaofisi za maana, nilisoma na jamaa akapata carry over lakini kaajiriwa na benki kubwa tu baadae ndio akaenda kumalizia kozi yake.
  9. J

    Tanzania na Ajira za Kujuana

    Mashirika binafsi na mabenki, ila nashukuru Mungu japo sijafanikiwa kunamtu kanipa kimtaji nikaanza biashara ya umachinga.
  10. J

    Tanzania na Ajira za Kujuana

    Bahati ya kukosa, nakuwapa wasio na sifa.
  11. J

    Tanzania na Ajira za Kujuana

    Kwa kweli bila kujuana na mtu katika hii nchi kupata ajira ni ngumu hakuna mfano. Usione jamaa wanafanya kazi alafu unaambiwa nilituma maombi tu nikaitwa kwenye usaili wengi ni waongo ila walishikwa mikono na jamaa au rafiki zao. Kwa nilioshuhudia wamepita kwa njia nilioeleza hapo juu. 1...
  12. J

    Barua ya Kumfukuza Juliana Shonza na aibu kwa BAVICHA

    Kuazimia sawasawa na kuamua, kudhamiria maana kufikiria kufanya jambo fulani. Kama wameazimia kumfukuza maana yake wamefikia azimio la kumfukuza.
  13. J

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Kumbe wewe paper na vitabu vyako ni kuhusu Waislamu tu jinsi wanavyoonewa mbona kuna Waislamu wengi matajiri nchi hii huo uonevu huko wapi. Kuhusu elimu nimekuambia jambo lililotokea hapo Mkuranga wanasema bora watoto wakasome madrasa kuliko elimu ya Mzungu hiyo nayo ni hujuma ya Nyerere.
  14. J

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Naona jamaa zako hapo Mkuranga wanakataa kupeleka watoto shule wanasema bora wakasome madrasa tena anaambiwa mbunge wao Mh Adam Malima. Alafu unakuja hapa kutoa povu kwamba mnaonewa tena mshukuru uwepo wa Nyerere alielazimisha kila mtoto lazima aende shule, leo baada ya Mwalimu kuondoka hata...
  15. J

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Mzee mchochezi naona umepata sehemu ya kuendeleza chuki zao ila unalotengeneza utalishuhudia kabla haujashuka kaburini omba maisha marefu.
Back
Top Bottom