Recent content by Joachim J Lyimo

  1. Joachim J Lyimo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Magonjwa ya mtindo wa maisha yanaweza kushindwa

    Maisha ni ya thamani kubwa sana. Hata hivyo maisha huambatana na changamoto moja kubwa. Watu hupata maisha(kuzaliwa) wakati wakiwa hawayahitaji na wala hawajui thamani yake, na huyapoteza wakati yakiwa ndiyo kitu cha pekee wanachokihitaji. Kuna watu waliouza kila kitu, wakakimbilia hospitali...
  2. Joachim J Lyimo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naoa hivi karibuni.msaada plz,ni wapi naweza pata huduma hizi?

    Kaka unaweza ukanielekeza mahali ambapo ninaweza kupata kwaajili ya kukodisha?
  3. Joachim J Lyimo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naoa hivi karibuni.msaada plz,ni wapi naweza pata huduma hizi?

    Siku hizi bei za kukodi gauni zikoje siku hizi?
  4. Joachim J Lyimo

    JamiiForums Tanzania CV: Natafuta kazi ambayo itaniruhusu kupumzika hata Jumamosi tu.

    Kwani Yesu si alikuja kwa ajili ya watu wa taifa, lugha, kabila na jamaa zote?? Njoo Kimara SDA jumamosi utanikuta mkuu
  5. Joachim J Lyimo

    JamiiForums Tanzania CV: Natafuta kazi ambayo itaniruhusu kupumzika hata Jumamosi tu.

    Asanteni sana wakuu
  6. Joachim J Lyimo

    JamiiForums Tanzania CV: Natafuta kazi ambayo itaniruhusu kupumzika hata Jumamosi tu.

    Kazi please
  7. Joachim J Lyimo

    JamiiForums Tanzania Ruvuma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Fuime loading ?
  8. Joachim J Lyimo

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Inamaana mmehamua kusafisha huo mkoa?
  9. Joachim J Lyimo

    JamiiForums Tanzania Ruvuma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hapa Lizaboni jimbo la Songea Mjini nimekwisha timiza haki yangu ya kikatiba.
  10. Joachim J Lyimo

    JamiiForums Tanzania Bao la Mkono: Fomu za matokeo zaongezewa kipengele kipya kinyemela

    Jana nilipiga simu NEC wakasema kupiga kura ni mahali ulipojiandikisha. Mimi asubuhi kesho ntakuwa njiani kufuata kituo changu huko kusini mwa nchi.
  11. Joachim J Lyimo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamuweka Magufuli mtu kati Jijini Mwanza

    Dar es salaam itakuwa 9 dhidi ya mmoja wa Lowassa
  12. Joachim J Lyimo

    JamiiForums Tanzania Moshi Nimewakubali!! David Mosha shtuka!.

    Mmmmmmh
  13. Joachim J Lyimo

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa ACT-Wazalendo kutoka viwanja vya Furahisha jijini Mwanza

    Umenifurahisha
  14. Joachim J Lyimo

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera na CNN wawasili Tanzania kuripoti matokeo Uchaguzi Mkuu

    Usinivunje mbavu mkuu.
Back
Top Bottom