Binafsi nahisi baba yetu wa kiroho hayuko sahihi..mana dini ni nyingi na ndani ya hizo dini imani ni tofauti..kwanin asiwakilishe hayo maon yao ktk hyo taass ambayo serikal inaitamabua..vp na wale ambao hawaamin ktk bakwata nao wainuke kudai serkal haijawajal?
Mara nyingi nimekuwa nikijifunza humu kwa kuangalia post za wakuu zangu,sasa nimeonelea n bora kuingia kabisa il nijfunze zaid kwa kuulza pale inabd asanten naomba mnipokee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.