Recent content by Jnkina

  1. J

    JamiiForums Tanzania Polisi waliofukuzwa kazi warudishwa kazini!

    Eti kwa kuwa yeye hajapiga picha na 'winfomu' kwi kwi kwi kwiii
  2. J

    JamiiForums Tanzania Polisi waliofukuzwa kazi warudishwa kazini!

    Wamrudishe tu bhana mshikaji wangu Mpaji Asuma Mwasumbi classmate wangu Kantalamba A-level 2004
  3. J

    JamiiForums Tanzania Polisi waliofukuzwa kazi warudishwa kazini!

    We bado ulikuwa unategemea kulindwa na polisi hadi leo? Wale waliomuua Mwangosi?wale waliowapora majambazi pesa Kariakoo wakatokomea nazo? You can't be serious mkuu.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ideos Google used inauzwa.

    ....!!!!,
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ideos Google used inauzwa.

    Nauza simu tajwa hapo juu, iko poa na haina tatizo lolote, inatumia line ya tiGO tu. Unapewa na charger tu. Bei 80,000/= Nipo DSM. Pm inahusika.
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    kwani ngapi ngapi game ya leo? Niko Msoga huku sijui lolote..
  7. J

    JamiiForums Tanzania Arusha: Chadema yaendelea kuitesa CCM Sombetini

    Naomba unisaidie kusoma ulichoandika ,KAMA UNAWEZA.
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada please, Urgent..!

    Thanks a lot guys for your help, you guys you rock... I knew it... Thanks Kang
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika Jiandae: Kiongozi wa Upinzani aliyemfananisha Rais na Kiazi Kizimbani

    Huyo wa Zambia anapaswa kuchukuliwa hatua kwa kuwa ni kweli Satta sio kiazi, Ila kwa Mnyika sahau kwa kuwa ni kweli JK ni DHAIFU. Na Kapuya amethibitisha hilo.
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada please, Urgent..!

    Kila nikijaribu ina boot kama awali. No difference hata niki hold hizo buttons.,
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada please, Urgent..!

    Guys I'm still in need of your help.
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada please, Urgent..!

    Mkuu Kila nikiingiza Email na pswd inaniambia 'checking' then ina fail. Naendelea kujaribu
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada please, Urgent..!

    Thanks mkuu, japo najaribu inaendelea kunipa the same screen, naendelea kujaribu.
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada please, Urgent..!

    Mkuu hiyo hard reset naifanyaje!?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke Joseph Yona, apigwa na kuumizwa vibaya!

    Mna uhakika gani kama CHADEMA ndio waliompiga!?
Back
Top Bottom