Recent content by JNathan

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

    Watarudisha chenji 2015
  2. J

    JamiiForums Tanzania Takwimu kamili za Matokeo ya Udiwani katika kat zilizofanya Uchaguzi J.pili Tar 16.06.2013

    Yani kama unatoa kumbe nawe wangoja. Mmmh.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tray 25 za mayai zimemfikisha hapa mtoto huyu!!!

    Machangudoa wengi walioko Dar wanatoka Kilimanjaro na Arusha. Je hao ni Wanyakyusa na Wahaya? Mtoa mada acha ulimbukeni wa makabila. Nitajie kabila ambalo hawavui chupi.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa nini web ya ajira (moe.go.tz haifunguki muda huu?)

    Ajira za ualimu hakuna. Maana hamtaki kwenda vijijini. Tafuteni ajira nyingine. Mkisikia njaa kuleni majani.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Kikwete na mama salma Kikwete wawasili nchini Ufaransa

    Jamani hebu niambieni hii ni ziara yake ya ngapi toka aingie ikulu?
  6. J

    JamiiForums Tanzania ajira za walimu wapya 2013

    Huna lolote we ni sawa na mtoto mwenye pampasi. Hiyo ajira ya movie wape ndugu zako na ukoo wako.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini ajira za walimu hazitangazwi?

    Hata wasitoe hizo ajira mie naendesha tax inanilipa vizuri tu. Nashukuru nina kadegree.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Polisi: Mwigulu Nchemba alikodisha wahuni waliofanya vurugu zilizosababisha mauaji Ndago - Singida

    Acha upopo wewe kama mnao si mngeutoa ili cdm na M4C iaibike. Hamna lolote nikuwa hamja sukutua midomo yenu inanuka.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ronaldo kavaa kufuli ya kike kata....

    Mambo ya Adobephoto hayo. Mie haini ingii akilini. Kisayansi mtu anae funguliwa buti hawezi kuwa na nguvu kwani atashindwa bana pumnzi ili ku restore energy. Angalia wamama wakati wa kujifungua wanavyo pata shida. Hivyo Cr7 asingeweza cheza mpira kwa nguvu. Acheni uzushi.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jina zuri kikwetu, Tafsiri tata kwa kabila au lugha nyingine

    Wakati nipo Mkwawa mwl mmoja toka Japani alikuwa anaitwa Taka Uchi. Ghana ipo Kumasi ni mji. Ukienda Kibosho wanasalimiana hivi, Nantombe sir, kiitikio Aika -----.
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba wapiga deiwaka Arabuni (picha)

    Nyie mnafi**%a. Iacheni simba. Nanyie kabaneni pua muone kama hamjavunjiwa mayai.
  12. J

    JamiiForums Tanzania CONSTITUTIONAL REVIEW: retired Judge WARIOBA assists SIR KAHAMA... down the MEMORY LINE!!!

    Walishindwa tengeneza katiba safi wakati wa ujana wao leo yamewashinda wanataka kututengenezea katiba mbovu. Eti Tanzania nchi changa Rais asipunguziwe madaraka. Katiba sasa iundwe na vijana ambao tuko wengi na wazee watupishe.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mzimu wa Nyerere: Gesi ya Mtwara ni tatizo dogo ebu fuata maagizo yafuatayo

    Hivi hawa watu wa Kauma, Mnyamasi, Mwese, Kalema, Rwega kule Mpanda na wao wanataka gesi itoko Mtwara kupitia Ruvuma ili viwanda vya kule vipate nishati. Hivi Dar kuna chimbwa dhahabu au shaba? Mtwara komaeni hakuna gesi kutoka.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mtwara na Karl Heinrich Marx Aidea(1848) na Kilicho kuja Kutokea URUSI 1917

    Mie nawapa big up wana wa Mtwara. Ngoja na Mwanza waanze sijui wata recruit polisi wangapi mwaka huu?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu sasa ni wimbo,zinatoka kesho usiku

    Jamaa wako hopless kabisa sasa mulugo alienda radio kufanya nini?
Back
Top Bottom