Kwani Magu alipinga huo mpangilio wa kuzaa? Hapana tusimwelewe vibaya. Yeye alitutaka tuzalishe zaidi ili pia tuweze kuwa na idadi kubwa ya watoto ambao tutaweza kuwamudu.
Sasa Liverpool hatusajili makinda, tunachukua watu wenye uwezo wa kutosha. Tazama tumecheza na Burnley na Everton tumezipiga zote pasipo Coutinho. Ko tupo vizuri tu.
Tusipende sana kushabikia madhehebu yetu, maana hatutaweza kuijua kweli ya Mungu tukiegemea sana kwenye madhehebu yetu. Maana kila kiongozi uvutia upande wake. Hivyo ni vyema kujifunza biblia, lkn pia kuwa waombaji sana ili Roho wa Bwana na atufunulie.
Yes, nimekupata, haya mambo kuyajua tunahitajika kusoma, si tu biblia lkn hata kuijua historia ya kanisa. Kiundani maana viongozi wetu kila mmoja uvutia kwake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.