Hiyo age unayoongelea kwa wote naona sawa kabisa, maana yake nini; Ni kwamba wote mko kwenye umri uliokomaa kimahusiano ni umri sahihi wa kuoana. Suppose tupunguze umri wenu miaka miwili, utaona kuwa mwanaume akiwa na umri wa miaka 28 na wewe miaka 18 utaona kuwa marriage hii itakuwa iko sahihi...
IGP Mwema kiukweli alipoteuliwa alitegemea kufanya kazi za kiuadilifu kama vile alikotoka, lakini imekuwa sivyo ndivyo amejikuta akitumika kwa masilahi ya vigogo wachache wasioguswa [wakijifanya wako juu ya sheria] wakijinufaisha kupitia mgongo wa vyombo vya usalama, Jeshi la Polisi na usalama...
Mimi binafsi nawashukuru sana Jf mmenifungua na kujua mengi ya nchi hii Tz, mbali ya kwamba mnaambiwa ni wapigaji Propaganda lakini najua ni wale walio karibu na hao wauzaji au vigogo wa madawa ya kulevya. Hivyo ni lazima wanatafuta njia za kujihami isije ika leak zaidi na kuzidi kuumbuka...
Kweli hii ni aibu, tunayoisifia kwa utulivu na amani kumbe ni maharamia wa kununua na kuuza unga wa kulevya.
Sasa hivi biashara imeshika kasi na nguvu mpya, maana nchi za wenzetu hawana masihara wanapigana vita vya ukweli na kupinga ununuaji na uuzaji wa madawa ya kulevya. Serikali yetu...
Mi nakubaliana nawe 100%. Tuzungushe tukatae, lakini Watz hasa vigogo wametufikisha mahali ni aibu. Serikali iliyoko madarakani ndio wahusika, halafu sisi wananchi tulivyo mambulula tunaitaka serikali iwataje wahusika na uuzaji hayo madawa, inawezekana kweli? Ila Tuisihi serikali iachane na...
Swala la usalama kwa nchi yetu hii limekuwa kitendawili, tunaishi bora tuishi na wale wanaoptwa na majanga kupigwa na kuumizwa, wengine kuuawa ili hali ni vurugu, lakinimwisho wa siku tunahabarishwa na wahusika na mambo ya usalama, watuhumiwa wasakwe hata kwa gharama yeyote wakamtwe na...
hapo mi naiona sisiem kama vile inatafuta namna ya kuujengea wigo umaarufu ambao sasa unapotea taratibu na kufifia kwa wananchi, umaarufuku uliotukuka na sasa umapata doa jeusi tii. Wanatafuta njia ya kujinasua na zahama hili, ni kama hivi sasa wametunga sheria ya kutukamua na laini za simu...
Yote hayo ni mazoea ya mtu. Hata umwambie, umweleze yeye kwake sawa na wala haimsumbui kwani ni mazoea yake au kiko kwenye damu. "Ni sawa na mtu kumpigia mbuzi gitaa kwa mategemeo atacheza muziki"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.