Recent content by jmratino

  1. jmratino

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni hospital inayodili na ugonjwa wa uvimbe

    Nashkuru sana mkuu...! Ngoja nimkimbize chap
  2. jmratino

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni hospital inayodili na ugonjwa wa uvimbe

    Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha baba yangu anasumbuliwa na huo uvimbe, umekua ukimdhoofisha afya yake, tumejaribu mara kadhaa kumpeleka hospital lakini matibabu anayopewa yameshindwa kumponyesha, kwa maelezo yake anasema linavuta kwa ndani kama mtu aliyekulenga na mshale wa sindano...
  3. jmratino

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hizi ni shule za vipaji maalum?

    Nathan hapa tafsir ya "kipaji" haiajakaa sawa, sidhan kama kuwa na uwezo mkubwa kiakili ni kipaji, kwa wengi tunaonaga kinachooanza kwanza ni kipaji halafu elimu ndo inasaidia kukipa thaman hicho kipaji, kwa hiyo kuziita hiz shule "vipaji" i think sio sawa, alafu wadau wa elimu wamefichwa kwenye...
  4. jmratino

    JamiiForums Tanzania Askofu Pengo: Sikufahamu kuhusu waraka wa Kwaresma wa Baraza la Maaskofu Katoliki. Awaasa wasichanganye dini na siasa

    Jamani pengooooh nadhan huwez kusema usichanganye dini na siasa wakat hata mustakabal wa din unategemeana na hali ya siasa ya nchi husika
  5. jmratino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Logo ya Dume Condoms, kuna nini kimesimama juu ya herufi M. Ni sawa na maadili ya kitanzania kweli?

    [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  6. jmratino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniambia ataniendea kwa mganga aniroge

    Mara paap mzigo hausimami utaenda omba poo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  7. jmratino

    JamiiForums Tanzania Kwa wote mnaoanza mwaka wa kwanza, nawakumbusha haya machache

    Kwa kukazia epuka kuwa na kisasi na malecture
  8. jmratino

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    TIA mbona bado?
  9. jmratino

    JamiiForums Tanzania Aslay - Natamba (new joint)...!!!

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  10. jmratino

    JamiiForums Tanzania Aslay - Natamba (new joint)...!!!

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  11. jmratino

    JamiiForums Tanzania TCU: Uhakiki wa waombaji shahada ya awali ulikamilika Aug 30, yaitisha awamu ya pili kuanzia Octoba 4-10

    Mbona majina bado hayajatoka. Tutajua vp kama tumechaguliwa ama laah nyie tume achen [emoji15]
  12. jmratino

    JamiiForums Tanzania Kumekuchaaaaaaa udsm

    Utauwa watu na pressure
  13. jmratino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutongoza ni janga kitaifa

    Haha hatujafika uko embu fanya tena kautafiti kako
Back
Top Bottom