Recent content by jmkrevo

  1. J

    Msaada: Yeyote anaejua na ambae amewahi kunufaika na Zitto Kabwe Fund.

    Pole sana mkuu..Hakuna kitu kama hicho, huo ni utapeli tu!Kuwa macho itakula kwako.Tanzania yetu vituko haviishi ni kama vile vyombo vya dola vimelala!!
  2. J

    Project funding sources

    Mkuu Mzuzu,Nakukubali sana, nakutakia kila la heri ktk project yenu. Usisite ku-share na sisi changamoto utakazo kutana nazo.
  3. J

    Mbegu za Nyanya aina ya Anna F1

    Mkuu SabayiNami naomba uni PM namba ya huyo jamaa anayeuza mbegu za jambar F1 na anna F1. Asante
  4. J

    Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

    Kweli ng'ombe wa masikini hazai..... Jitihada zote zinageuka majivu!
  5. J

    Mmoja wa Wagombea Urais 2015 ahusishwa na Mgomo wa Madaktari?

    Jamani ni hisia tu, yawezakua kaamua kutumia magezeti ili apate kufufua jina lake liloanza kupotea masikioni mwatanzania. Ni mtizamo tu.
Back
Top Bottom