Kweli uchambuzi na uelewa wa siasa ya nchi unahtaji elimu kubwa sana itolewe hususan kwa tabaka la vijana kwa sababu mtu anakurupuka na kupost hoja nzito za kisiasa bila kutambua kwamba ni
1) aina gani yahoja,
2) ina uzito gani
3) kwawapokeaji,
4) itapokelewa kwa hisia gani,
5) nihoja...
Aende zake mwehu huyoo,amenyanyasa sana vyama vya upinzan, sasa badala yavitisho vyakuifuta nguvu ya umma sasa ndio mmeshuhudia kwamba nguvu ya umma ni zaidi ya huyu sisimiz Tendwa aliyefutwa kaz kwa kisingizio cha kustaafu, aaaiibuuu kubwa tendwa umejifukuzisha kazi kwa kukurupuka nakulopoka...
WAJUMBE WA MABARAZA YA KATIBA NAOMBA CHONDECHONDE MFANYE KAZI KWA MAKINI NA WELEDI MKUBWA ILI TUPATE MOYO WA NCHI ULIO MZURI VINGINEVYO UCHAMBUZI WENU UKIJAA MAMBO BINAFSI UTUMIKAJ NAWATU FULANIFULANI AU VYAMA FULANIFULANI UNAWEZA KUZAA TAIFA LISILO NA MVUTO MBELE YETU NAMBELE YAWENZETU PIA. RAI...
Ipo siku tanzania itakumbwa namambo yaliyowakumba wamisri. Nadhan popular power ipo siku itaongea nakuwafanya mbaya hawa kina Mwigulu na ujinga wamawazo wanayofanya wasdhan watz wote wana akili kama zao. Mwigulu siku itafka hata huo ushahd uliojinad kuuoa hata mbingun we mwehu sana sabbu hata...
Naibu katbu mkuu wa CCM mwigulu Nchemba aikimbia mahakama bada yakutajwa kesi alowafngulia makada wawili wa chadema Dr. Kitila Mkumbo na Waitara. Mwigulu aliwafungulia kesi kwamadai kwamba walimtukana nakumkashfu kiongz huyo wa CCM. Vyanzo vya habar vinadai kesi hyo imetupiliwa mbali bada ya...
Kiukweli kauli ya Membe ni upuuzi mbele yawananchi na walipa kodi wanaomlisha na kumlipa mshahara wake anaoringia.
Kitendo cha serikali kujali wapita njia wa siku 2 kwakupulizia madawa yakuua mbu namazalia yake nakuacha wananchi wakifa kwa Malaria kila kukicha, hapa hatuoni usikivu wa Serikali...
TANZANIA imeelezwa kuwa nchi yenye amani zaidi na utulivu mkubwa kuliko nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ikishikilia nafasi ya 55 duniani kati ya nchi 162 ambako utafiti kuhusu hali ya amani na usalama umefanyika.
Utafiti huo unaojulikana kama The 2013 Global Peace Index (GPI)...
Maana ya sasa ya CCM=Chama Cha Mauaji. Watanzania wenzangu aman ya nchi iko rehani na hili limethbitishwa rasmi namkurupukaj, mhalalishaji mateso,vipigo na hata hayo mauaji anaejiita mtoto wa mkulima anaenajis neno "mtoto wa mkulima" kwani sasa yeye ameruka hatua yaukulima nakuwa muaji...
Duh mdau umeteka attention yakusoma ujumbe wako kumbe na wew ni ngojangoja. Haya maswal kimsing yakichambuliwa tutajua waz kama ni nani anayeshuka, nani anapanda au nani amesimama palepale(stagnant point)
Kwanza kabisa natoa pole kwa waliopatwa na msiba mkubwa wa kufiwa na makamanda wakiwa ktk harakati za ukombozi wa nchi. Ni dhahiri mipango michafu ya mwigulu nchemba alosomea huko uchina aliyotumwa na CCM inamtuma kuzidi kubomoa amani ya nchi, hapa napata jibu kwamba ccm NDIO WENYE KULEA...
Kiukweli serikali imechemka kutusomea bajeti kwa mbwembwe lakini cha ajabu bado inaendelea kubaki usingizini kwa kuondoa kodi kwenye sekta za kuingiza kodi kubwa na kutegemea ulevi kuongeza makusanyo. Hapa serikali imekosa mshauri haina wachumi, bora tuombe uzima 2015 ifike kwanza wawe super...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.