Endelea kusoma na ukiikuta inawaka moto sehemu ipige picha uilete hapa uni tag. Nina namba D. Mbona haijawaka moto na long trip za Dar-Arusha, Dar-Dom, Dar-Mufindi nakanyaka bila presha na hazipungui 20 mpaka sasa.
Hata subaru (forester) wakati zinaanza kuingia Tz miaka ile haya maneno yalisikika sana na wengi mlisema service ni mpaka Nairobi ila vijana wa Arusha wakathibitishia kuwa siyo kweli. Leo hii subaru zimejaa kila mahali. Ndiyo maana ukienda miji kama Kigali, Nairobi unakuta chuma latest, bongo ni...
CX-5 tamu sana kuanzia performance, design and fuel economy. Masharti tunayaishi tuu kwasababu hakuna gari isiyo na masharti. Kama ni "DPF" ondoa na u delete kama wewe ni mtu wa short trips mwaka mzima na "coolant by-pass" fanya kama wewe ni mtu wa long trips. Mchezo umeisha. Haigharimu zaidi ya...
Kuna side biashara nje mshahara. Nilikuwa nashangaa mtu ananunua gari ya 50mil wakati mshahara wake hauzidi 1.5mil. Ila nilipodadisi mishe zake nikagundua kuwa ajira alionayoni dhamana kubwa katika biashara anazofanya na ndizo zinazomwingizia pesa kiasi kwamba mshahara hauna kazi kwake. Hivyo...
Gari muhimu uwe nayo kwanza uipaki hapo nje. Wese huletwa na madili. Ukiwa na gari ni rahisi kufukuzia dili au kuletewa dili la pesa (mchongo). Pia unaweza kujikakamua mara moja moja ukaweka wese kwa mitoko maalumu
Fundi wa kwanza wa gari ni wewe mwenyewe (siyo fundi flani) na mchawi wa kwanza wa gari ni wewe mwenyewe(siyo brand ya gari au aina ya gari). Gari zinatoka na maintenance manual na mitandaoni zimejaa tele ila watu hawasomi, wanaishia kulaumu uhaba wa mafundi au gari husika. Unapiga reverse CX5...
Hiyo 850k unajaza wese unaenda hapo kenya wanamaliza kila kitu na chenji inabaki. Naikamua hivyohivyo na sijawahi ona shida yake. Trip zangu ni Bagamoyo-Dar kila weekend
Hii hapa iko na mtiririko mzuri na uandishi uliokaa sawa
Kama kawaida, nimeamua kufungua uzi huu maalum kwa ajili ya Mazda CX5 kama nilivyofanya kwa Subaru Forester na magari mengine.
Lengo ni tukutane hapa tukishirikiana uzoefu, ushauri, changamoto na mbinu mbalimbali za kuitunza na...
Wakenya huwaambii kitu mbele ya Mazda. Ukiwa Nairobi CX5 zimetawala jiji na latest models nyingine. Huwezi kuta gari za miaka ya 80, 90 au 2000 kwa wingi kama bobgo. Labda sababu wana mafundi wazuri na wanaenda shule haswa na siyo kujifunzia uchochoroni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.