Ijue Mazda CX 5, CC 2000

Ijue Mazda CX 5, CC 2000

Unaelezea kisela sana mkuu😂
Yani hio sio offroad car kabisa na haitavumilia mazingira magumu. Kisha ni diesel car, kwa engine ndogo ya diesel its more problematic than petrol counterparts.
 
Hapa nimekusoma vizuri sana
 
Jamii zote za mitubish sizipendi, ninayo moja niliibadili nlinjini.

Injini zote za mitsubish zina vichangamoto ambazo mafundi hawajazijulia sawaswa na spare zake ni ghali sana kwani lazima ununue Org
Duh sikujua ila kwa muonekano outlander Imekaa kiunyama sana
 
Gari nzuri sana na ipo top five ya magari yanayonunuliwa kwa wingi bongo,
Swali: ivi vanguard ina nini cha kipekee kuifanya iwe ghali sana pengine kuliko hata Mazda c x5??
Nitakujibu mimi.
Mimi nina duka la spare za magari. Kiukweli gari ambazo hazina usumbufu kwa huku kwetu na matumizi yetu ni TOYOTA pekee. Nimeanza kutumia magari tangu mwaka 2000 nazijua gari vilivyo. Nyie vijana wa 2000 mnaweza kusifia gari hizi za sasa kama MAZDA,nafikiri ni ksbb tu hamjatumia gari zingine mmefikia kwenye gari hizo toleo lenu.

TOYOTA kila spare inajieleza kwa UWAZI na UFASAHA. Ndio maana Hakuna fundi kwa hapa bongo mpaka mikoani akashindwa kuipatia TOYOTA yoyote. Uki-compere na hizi gari mpya MAZDA ama NISSAN DUAS ama NISSAN EXTRAY ama SUBARU.. Hizi MAZDA,NISSAN na SUBARU MATATIZO YAKE YANALINGANA. Hizo gari inaweza ikazingua kitu usijue tatizo ni nini kwa muda mrefu. Yaani anaweza kushika fundi huyu ukadhani tatizo limeisha lakini baada ya siku au muda kadhaa linakurudia. Pia hazijijulishi kwa haraka kuharibika kwa kitu fulani tofauti na TOYOTA ambayo mfano hata ball joint au CV joint au Tie rod end>.,au hata shock up itakujulisha mapema sana kwamba hii spare inakaribia kutia nanga muda kidogo kwa hiyo jipange kuzibadirisha. Kwa hiyo unaweza kutumia hata wiki au zaidi wakati unaendelea kujipanga. Ni tofauti na hizi MAZDA,NISSAN zote au SUBARU zote. Hizi muda mwingine inaweza kukuzingua leo leo inatakiwa ubadirishe leo leo. Na muda mwingine usijjue inazingua nini. Au ikazingua usijue kwa haraka tatizo kitu ambacho kwenye TOYOTA yoyote hata wewe usie fundi utajua tu tatizo linalokuja ni nini?

Ukija kwenye spare upatikanaji wa spare za TOYOTA ni simple kila siku zipo na kwa bei ya kawaida. Tofauti na hizo MAZDA, NISSAN na SUBARU.
Hivi kuna jamaa hizi MAZDA mpya za Diesel imeua turbo ni mpya. Amepark anasubiri turbo.

Tukija kwenye body. TOYOTA wanaunda body kwa matumizi ya Africa kabisa kwa barabara zetu. Unaweza ukaitumia inavumilika. Unaziona zile PROBOX zinavyotwishwa mizigo kwenye roof huko Arusha?. Mpaka wajaziita engine wa 1HZ. Itwishe vile MAZDA kama hujafika unaokota kila kipande kivyake. Body za MAZDA, NISSAN na SUBARU ni mayai,imeegeshwa tu ndio maana ikichoka kidogo tu body yake inatepeta kama nyama choma,lakini uliza body za TOYOTA.

Ukija kwenye bei. Hawa MAZDA,NISSAN na SUBARU.wanaiga muundo wa gari za TOYOTA. Mfano hizo MAZDA zimeundwa kwa kuifananisha na TOYOTA HARRIER. Na NISSAN DUAS wakawa wanaileta kwenye TOYOTA HARRIER pia. Check bei zake sasa HARRIER iko juu inakaribia mara mbili za hizo ndude zingine Mazda na Nissan.

Wewe umeuliza swali kwa nini VANGUARD iwe bei juu kuliko hizo MAZDA? Majibu yake yako hapo juu. TOYOTA itabakia juu na gari zake zote kuanzia TOYOTA COROLA, CARON,CORONA,PRIMIO,IST,PROBOX,RAUM mpaka LAND CRUISER ksbb ya mambo hayo hapo juu kuanzia body,uharibikaji kukujulisha mpaka spare zake na matengenezo kueleweka kwa urahisi sana.

Tuje kwa nini MAZDA,na NISSAN DUAS(Jiulize pamoja na kutuhumiwa kushika moto sana bado zinanunuliwa sana bongo),NISSAN EXTRAY na SUBARU Sababu yake ni bei kuwa chini lakini muonekano wa body yake unasisimua. Mfano Alie na Mazda hiyo anaonekana ana BONGE MOJA LA MZINGA WA MDUDE,ni kwa wengi wasioyafahamu magari unaonekana una bonge la mdude,lakini kwa anaezijua unaonekana una box tu debe fulani,huwezi kulinganisha kabisa na alie na TOYOTA HARRIER au VANGUARD..
.
Ndio maana zinaingia kwa wingi sasa. Mtu anajikusanya kwa ajili ya HARRIER anafikisha milioni 20, kwenda kwa madealers anakuonyesha bei ya gari la ndoto yako TOYOTA HARRIER unakutana na milioni 40. Mkononi una 25. Dealers anaanza kukupa ushauri chukua hili Kopo MAZDA litatimia kwa hiyo ulionayo 25. Kwa nini usiitupie humo ili mradi tu umiliki ndinga?.
Kwa hiyo sasa wapo watayaisifia haya magari haya MAZDA,NISSAN na SUBARU Ni ksbb tu hawajatumia magari mengine.

NDUGU ZANGU NIWASHAURI TU KAMA UNATAKA UMILIKI GARI AMBALO HUTAJUTA KUWA NALO JIPANGE TU NUNUA TOYOTA UTANISHUKURU,SIO HAYO MAKOPO. YANGU NDIO HAYO MACHACHE.
YOYOTE MWENYE MASWALI KUHUSIANA NA MAELEZO YANGU. MAJIBU YOTE YAKO KWENYE MAELEZO YANGU HAPO JUU
 
Duh maelezo mengi sana ila kwa maneno ya ni kwa watu waojifosi kumiliki gari ila kama mtu unahela huwezi kuwaza bei za spare na pia Mafundi wapo wengi tu tatizo mnaendaga garage za tandika na tandale ingekua kwamba kisa bei ya spare au service mtu asinunue gari basi watu wasingekua wanaagiza range rover kwakua zina sifa mbaya kwenye reliability

Na harrier ina bei kubwa kuzidi Mazda ni kwasababu ya soko lake kubwa
 
Ndio nimetoa maelezo mengi. Kulingana na mada yenyewe ili ieleweke hatua kwa hatua.

Sio wote wanaotaka kumiliki gari hawana mawazo ya hela? Hapo utakuwa umedanganya. Wengi tunamiliki ndinga kwa ajili tu ni muhimu kurahisisha usafiri. Lakini 90% ni wa kawaida tuna mawazo bado na hela. Wengi hatupo level ya kujiachia kiasi cha kudokoa ndinga yoyote uitakayo. Mfano mimi gari ya ndoto yangu ni GEEP WRANGLER. Lakini sijafikia kiwango cha kujiachia kudokoa mdude huo wa milioni 80+.

Maelezo yangu juu yanajitosheleza. Umesema tunaendaga gereji za tandika. Kwa hiyo twende wapi ndugu yangu? Maana hizo gereji ndizo tulizozoea unaenda tu na TOYOTA yoyote muda huo huo unatengenezewa tu fresh. Na huku mikoani je?

Maelezo yangu juu pale yanajitosheleza. Sijasema mtu asinunue gari kisa spare. Tunatofaitisha tu jinsi zilivyo. Wewe nunua MAZDA. Kuna mwamba wangu kaipark MAZDA wiki ya pili sasa, kumbe zina turbo,imesenyenta turbo,tunasibiri turbo.

Umesema TOYOTA HARRIER ina bei kubwa kuliko MAZDA ksbb ya soko lake kubwa. Mleta mada pale juu amesema MAZDA zinamiminika kuingizwa nchini,maana yake soko lake tayari ni kubwa. Lakini nakuhakikishia never haiwezi,haiji kuizidi HARRIER. Umeiona NISSAN DUAS?. Zimeingizwa Africa,hasa EA kwa wingi,lakini kamwe haiji kuizidi bei TOYOTA iliyoundwa kulinganisha na hiyo NISSAN.

Sikia. GARI dokoa TOYOTA.
Bati la nyumba ALAFU (SIMBA DUMU).
Simu SAMSUNG.
 
Haiwekani wote tukamiliki Toyota hiyo haiwekani.....mwenye kumiliki Mazda mwache amiliki hayo ndiyo matumizi ya pesa.
Wakenya wenzetu wapo mbali Sana kwenye ulimwengu wa magari
 
View attachment 3271483
MAZDA CX 5
Cc 2000
Injini hii inakuja na technologia ya SKYACTIV
ambayo hufanya kazi kama vvti ,lakin ni zaidi ya vvti na kuifanya itumie mafuta machache kwa mwendo mrefu na kutoa nguvu ilio kusudiwa

Full tank nilita 54
Inatumia km 14.2 kwa lita moja ,
SKYACTIV G Ina tumia oil 0W-20/5W-30 lita 4.2 na top ni lita 4.5 sasa wewe weka lita 5 kama hujaipark hii gari maana vyuma vitasagika
Hydraulic lita 7.8 ya Mazda

Inagia 6 automatic
CVT
Inachanganya kutoka speed 0-100 kwa sekunde 10.2
Yani inatumia sekunde 10 kutoka speed 0 mpaka mia 100

Break zake ni za technologia ya hali ya juu ukiacha na na ABS ambayo wengi tuna ifahamu kuna vitu vipo humu ambavyo ni

(EBD) Electric Breakforce. Distribution
Wakati unaendesha gari hii ikiwa una kanyaga break mfumo huu kazi yake niku hakikisha kuwa hakuna tairi ina kamata break Zaid ya nyingine
(CBC) Cornering Break Control

Huu ni mfumo ambao uligunduliwa na mainjinia wa kampuni ya BMW ndio wakawauzia formula Mazda
Wakati unaendesha gari ilikata kona kwenye kila taifa kuna sensor ambayo kazi yake nikufuatilia tair hasa za mbele kuhakikisha kuwa hakuna inayo teleza kuikanyaga break kwenye kona gari haiwezi dondoka au kuhama barabara kwa ku drift
EBA....Electronic Break Assist
Hii hufanya kazi yakuhisi pale unapo simama ghafla huku zaidi kuappy nguvu kwa wingi na gari husimama ndani ya sekunde
Gari hii iko juu kuifanya iweze kupita hata katika sehem zenye changamoto

Speed yake ni 180 maximum speed na top speed yake ni 200
Gia box yake ina clutch mbili tu pamoja na drive chain ambayo huipa mzunguko mkali wakati iko kwenye mwendo na hubadilika shep kulingana na mwenendo
Gari hili ni SUV
milango 5 kama uwezo wa kubeba kg 500
Umesahau kuandika mabaya yake
 
Wakenya huwaambii kitu mbele ya Mazda. Ukiwa Nairobi CX5 zimetawala jiji na latest models nyingine. Huwezi kuta gari za miaka ya 80, 90 au 2000 kwa wingi kama bobgo. Labda sababu wana mafundi wazuri na wanaenda shule haswa na siyo kujifunzia uchochoroni.
 
Back
Top Bottom