Recent content by jmatata

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nape: Lowassa kapoteza sifa ya kugombea

    Du kama atakuwa Rais wetu wa awamu inayofuatia.afanye kama awamu ya ruhusa kila mtu ale kwa kujinafasi kivyake pale ulipo.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Akuna atali wala nn, wakati wanachokifanya kinaeleweka na wanakielewa msingi ngoja waonje mazabe ndio wajifunze kama uko Asia ndio balaaa na inajulikana vifungo vyake.wabongo tunapenda sana mambo makubwa si viongozi wala wananchi!!
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Yazidi Kuwekeza Tanzania...nani anafaidi?

    Wanawekeza Tanzania kwa sababu kwao awana maali pa kuwekeza wamewapa wamewekeza nchi nzima ndio maana wanakuja kuwekexa Tanzania du !!!
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na Nigeria kushirikiana kibiashara baada ya ujio wa rais J. Goodluck.

    Kenya imekwisha hao wapopo serikali yao inataka kuwaonge balaa kenya .
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mishahara serikali mbona kimya mpaka leo?

    Iyo inakuwa kama kenya sasa mishaala kwa awamu sekta moja ikilipwa isubili miezi sita ndio ije kulipwa tena du east africa nomasana wakubwa awana wasiwasi na mishaala yao wanawatesa wafanyakazi wachini du poleni sana tena sana nduguzanguni!!!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Lukuvi anatumia umasikini na shida za wana jimbo wa jimbo la isimani

    Sasa kwanini mlimchagua mnalalamika lini alivyokuwa kwenye kampeni za uchaguzi aliwsdakisha na mlilichwa pilau na soda sasaivi mnalalamika nini!@#!!@
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nape, Tujadili Faida za Serikali Tatu kwa Manufaa ya Umma

    Hakuna faida apo tunanyonywa tu wa bara bado tunanyanyania.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ya serikali ya muungano kuwa Dar es Salaam

    Wazenji wanataka wawe huru waungane na saud arabia ndio nia yao
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mishahara serikali mbona kimya mpaka leo?

    Mishahala ikipanda walivyojipangia wao wananchi mtakufa kwa njaa nyinyi!!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka nafasi za ubunge kupitia CHADEMA mmeisoma hii?

    Nafaci zakwao mzazi wenyewee
  11. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa serikali ya China wa magari ya kifahari ya Limousine, dhihaka kwa watanzania maskini

    Du unakumbuka mwalimu nyelele alisema ogopa msaada, bola mkopo sasa ndio inchi inavyouzwa kwa kijanja na ao viongozi wetu njaa, poldni watanzania apo watakaokua juu watabaki juu wachini wat as subili sanaaa!!!
Back
Top Bottom