Daa vipo vingi!
Vyote vya Musiba
Adili na nduguze
Unyoya wa kipanga aziz
Tabibu Sayidd
Sanda ya jambazi
Makuwadi wa soko huria
Mwl. mkuu
Is it possible?
Kisiwa cha hazina
Vitabu vyote vya Simbamwene
Lila na fila havitangamani
Hekaya za Abunuwas
Daa!Yaani riwaya ni nyingi sana
Hii habari imenisikitisha sana.Huyu ndugu aliwahi kuwa rafiki yangu enzi hizo shule ya msingi Mlandege,Iringa.Baadaye alihamia s/m Wilolesi.Baadaye nilirudi tena Iringa nikiwa Mkwawa high school tukakutana naye tena pale mjini yeye akiwa mfanyabiashara.Alikuwa ni kijana mzuri.Habari hii...
Maisha yanataka nini tena?Ukiweza kuyaendesha badala yenyewe yakuendeshe.Wengine wapo kitambo kwenye game lakini bado hawajatoka...Edo punguza kutupia picha zako ukiwa kwenye ndege...kuna watu wanaumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hatumsikilizi tu bali tunamsoma pia.Kwa kifupi Edo amechangia sana kulijenga gazeti la Mwanaspoti...na hata waandishi wengi wa habari za soka wanapita katika njia yake.Sitaki kujadili jina lako lakini kama wivu unaweza kufuatana na jinsia basi nimeshakusoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshangaa hata hao waliokupa likes...lakini sawa ni maoni yako.Najuta tu kupita hapa.Kwa viwango mmeachana kusi na kasi...Edo ni habari nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.