Recent content by jmalulu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msafiri Mtemelwa aomba kuondoka CHADEMA; MM’s wamrubuni aitishe press conference kutukana

    Kuchukua nchi wasahau labda nchi ya kaskazini lakini si tanzania wabaguzi wakubwa hao
  2. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe (KUB): Bajeti hii ya Serikali haitoi nafuu kwa mwananchi...

    Umenena mkuu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe (KUB): Bajeti hii ya Serikali haitoi nafuu kwa mwananchi...

    Mkuu unajisimbua kumuelewesha mtu asiejitambua muache asubiri bajeti ya mbowe imletee maendeleo yake.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa

    Nyumba inauzwa iko kibaha miembe saba imekamilika kila kitu isipokua umeme na maji,ina vyumba 3 vya kulala sebule sehemu ya kulia chakula stool na jiko ina uwanja mkubwa tu bei milioni 50 umbali kutoka barabara kuu ya lami km 2,kwa mawasiliano 0767402820.
  5. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Inna lillahi wainna ilaihi rajiuun
  6. J

    JamiiForums Tanzania Uropokaji huu wa Membe utaibua upya mzozo wa kidiplomasia kati ya Rwanda na Tanzania

    Nina mashaka na utanzania wako
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge std. 7 anapowasilisha bajeti ya vyuo vikuu bungeni: ONLY IN TANZANIA

    Hawa chadema wa ajabu wamesahau mgombea mweza wa slaa alikua darasa la ngapi? na waliitetea sana hiyo hoja ina maana kama wangeshinda tungekuwa na makamu wa raisi darasa la 7 hilo hawalioni
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge std. 7 anapowasilisha bajeti ya vyuo vikuu bungeni: ONLY IN TANZANIA

    Yaani ndugu yangu ukitaka kuiona misukule ya mbowe mguse huyo jamaa
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge std. 7 anapowasilisha bajeti ya vyuo vikuu bungeni: ONLY IN TANZANIA

    Povu la nini sasa misukule ya mbowe utaijua tu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Askofu mkuu wa Roma huingiaga msikitini??

    Umenena ndugu ila hilo somo ili mtu alielewe inahitajika akili ya ziada
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Askofu mkuu wa Roma huingiaga msikitini??

    Hakika yesu alikua ni mwislam maana hata bibilia imesema labda kama hujui maana ya neno mwislam hapo sawa
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kesho yaweza kua ni " CHADEMA"

    Umenena mkuu
  13. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Siwezi kukubali au kukanusha kama niko chama kipya cha ACT

    Na walipoligundua hilo wakakimbia kuilamba miguu cuf na nccr ili warudi kivingine ila tumewashitukia
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mh. Pinda Awasihi UKAWA!!

    Wewe ndo hujaelewa ila sisi wenye chama chetu mbona tunaelewana tu
  15. J

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hatimaye, Nape aisambaratisha UKAWA Pemba...

    Hata ukawa nao wanadai wanatetea maoni ya wananchi kama ndivyo kilicho watoa bungeni ni nini si wangebaki tu harafu wananchi si watapiga kura wangeikataaa siasa za mikutano hata ccm inaweza
Back
Top Bottom