VIDEO: Hatimaye, Nape aisambaratisha UKAWA Pemba...

VIDEO: Hatimaye, Nape aisambaratisha UKAWA Pemba...

Njia pekee ni maridhiano,na jukumu hili ni la Mhe Jakaya kikwete

Si umemsikia akili ndogo nape yeye anasema ukawa wasirudi bungen sababu hajui lolote kuhusu sheria ya uundaji wa katiba maskini ya mungu ni kamtu ka kuonewa huruma mi kambumbumbu tu kanakoendeshwa na emotions bila akili,lakini ndio kiongozi wa ccm na ndio wanao iua ccm taratibu bila ya wao kujua. Na tatizo hawajui kuwa ukawa ina suport kubwa ya wananchi kuliko wanavyo dhani.
 
Ukawa kitu gani bana walikuwepo wehu wengi tu lakini mashetani yaliwashuka wakaicha ccm ikisonga mbele.
 
Ukawa kitu gani bana walikuwepo wehu wengi tu lakini mashetani yaliwashuka wakaicha ccm ikisonga mbele.

Unataka CCM watawale milele,historia inatwambia hakuna kitu cha milele....kila kitu kina mwisho wake

wakati umefika CCM waachie ngazi watanzania tunataka mawazo mingine sera za nyigine,utawala mwingine
 
Zile sherehe za trh 26/04/04 zinakitu cha usiri sana ndo maana sasa watu kama Nape wanakuja na kauli za kututisha kuhusu UKAWA.

May 4th 2014

NAPE NNAUYE AKIHUTUBIA WAKAZI WA PEMBA

Nape Nnauye akihutubia wananchi wa mikoa miwili ya Pemba kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Gombani ya Kale.
YOUTUBE.COM

[video=youtube_share;fzSI6nDlYds]http://youtu.be/fzSI6nDlYds[/video]​
 
Si umemsikia akili ndogo nape yeye anasema ukawa wasirudi bungen sababu hajui lolote kuhusu sheria ya uundaji wa katiba maskini ya mungu ni kamtu ka kuonewa huruma mi kambumbumbu tu kanakoendeshwa na emotions bila akili,lakini ndio kiongozi wa ccm na ndio wanao iua ccm taratibu bila ya wao kujua. Na tatizo hawajui kuwa ukawa ina suport kubwa ya wananchi kuliko wanavyo dhani.

Hivi kweli Nape anaweza kuwashinda sheria ya uundaji wa katiba kina Jussa na Lissu?? Hivi vitu vingine ni vya kujiongelea mwenyewe chumbani na kujipa moyo, lakini kwenda hadharani ukasema UKAWA hawajui sheria ya uundaji wa katiba ni kujipotezea credit kwa wananchi.
 
Kuna kitu ambacho huwa najiuliza kila siku ila nikapata jibu kuwa UKISHA KUWA MWANA CCM MUNGU ANAKULAANI KWA KUFUNGA UFAHAMU WAKO, ndio mana daima hakuna mwana ccm anaye jua kujenga hoja zaidi ya uomgi uongo na ujanja ujanja mwingi, ccm imelaaniwa kwakweli ndio mipango yao sasa inakwama.
 
Nape aache kudanganya watu, kama kweli alikuwa na ubavu angetokea pale Serena kwenye mdahalo uliokuwa unahusu Katiba tuitakayo, pale tungemsoma Pumba zake vizuri.
 
Nani tena katoa UTUBE? bado wengine hatujamaliza kuushangaa ule umati.
 
CCM maji ya shingo, hadi imefikia hatua wanaomba msaada kwa msajili wa vyama aifute - kweli UKAWA moto wa kuotea mbali.
 
Kuna msememo wa kiswhl usemao, "kimya kina mshindo mkuu" kama kweli ccm wanauhakika kuwa wananchi wanauhitaji wa wanachodhani wao (srkl 2) ? Yanini kupoteza nguvu nyingi na raslimali kushawishi watu kuwaunga kichwa (ingawa dafu) let them go on na u****zi wao.

Hata ukawa nao wanadai wanatetea maoni ya wananchi kama ndivyo kilicho watoa bungeni ni nini si wangebaki tu harafu wananchi si watapiga kura wangeikataaa siasa za mikutano hata ccm inaweza
 
Njia pekee ni maridhiano,na jukumu hili ni la Mhe Jakaya kikwete
Huyu hawezi wala hana uhalali wa kisiasa wa kuleta maridhiano maana yeye ndiye mtu wa kwanza kuchafua mchakato mzima kwa kuanzia kutoa msimamo wa chama kwenye vikao vya NEC na kupigilia msumari kwenye hotuba ya kuzindua bunge aliyotoa akisisitiza serikali mbili na kutishia jeshi kupindua ikiwa zitapishwa serikali tatu (huku akiwa mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu)..,,,, Mtu ambaye nahisi anaweza kuleta suluhu ni Dr. Salim Ahmed Salim,, Yeye kwanza ni mtu neutral hana makundi na pia ni international figure,, ameshashiriki sana kutatua migogoro Africa na nje ya Africa na ameshasaidia kupatikana kwa katiba mbalimbali ,,,Kinachoshangaza ni ukimya wake katika swala nyeti na muhimu kama hili????
 
Nape naye anatetea tumbo lake msimshangae jamani!🙁

Tatizo akina Nape wanafikiri Watanzania wote ni wajinga .................... ila hasira wanayoionyesha kwa UKAWA inaonyesha ni jinsi gani walivyokaliwa shingoni!! Kama anayoyasema yanatoka moyoni kwa nini na wao wanakimbilia kwa wananchi baada ya kuona moto wa UKAWA!!??
 
Huyu hawezi wala hana uhalali wa kisiasa wa kuleta maridhiano maana yeye ndiye mtu wa kwanza kuchafua mchakato mzima kwa kuanzia kutoa msimamo wa chama kwenye vikao vya NEC na kupigilia msumari kwenye hotuba ya kuzindua bunge aliyotoa akisisitiza serikali mbili na kutishia jeshi kupindua ikiwa zitapishwa serikali tatu (huku akiwa mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu)..,,,, Mtu ambaye nahisi anaweza kuleta suluhu ni Dr. Salim Ahmed Salim,, Yeye kwanza ni mtu neutral hana makundi na pia ni international figure,, ameshashiriki sana kutatua migogoro Africa na nje ya Africa na ameshasaidia kupatikana kwa katiba mbalimbali ,,,Kinachoshangaza ni ukimya wake katika swala nyeti na muhimu kama hili????

Ndugu Yang Osokoni ni hivi yeye pamoja na kuharibu mwanzo bado anaweza kuwaita UKAWA na CCM wakaa chini na kukubaliana maana bila hivyo wananchi wameamka sio wa 1964
 
Kwani kusaka madaraka ni dhambi? Tatizo CCM hawajui hata maana ya vyama vya siasa, lengo la chama chochote cha siasa ikiwemo CCM ni kushika madaraka. kwa hiyo kama UKAWA wameungana kusaka madaraka ni sawa kabisa. Kama CCM hawanashida na madaraka waende likizo, mbona kila siku wanawafuata ukawa nyuma kufuta nyayo zao?
 
Hongera sana ndugu Nape. Wao UKAWA wanasambaza sumu, NAPE unavyonza sumu zote na wananchi wanabaki salama kabisa
 
Huyu hawajui wapemba

Nilkuwa kule wakati wa kampeni 1985 Nyerere akijaribu kumuuza Idris Abdulwakil.......ulizuka uvumi kuwa Nyerere kapata kiharusi basi kila ajae kumsalimu alikuwa akimtikisa mkono kwa nguvu kumpima. Pamoja na uchaguzi kuwa wa chama kimoja na kupika matokeo CCM ilipata 52%. Kwa aibu ile Mzee Wakil hakutaka kuombea tena 1990.

Wakili.jpg
 
Ndugu Yang Osokoni ni hivi yeye pamoja na kuharibu mwanzo bado anaweza kuwaita UKAWA na CCM wakaa chini na kukubaliana maana bila hivyo wananchi wameamka sio wa 1964
Kamwe CCM hawatakubali serikali tatu sikia tu hoja zao("Nchi itapinduliwa m/kiti,,lukuvi et al,, tutaingia msituni komba et al,,, mapinduzi haykupatikana kwa vikaratasi na nyie pindueni ,,,,) sasa kwa kauli hizi tunaandika katiba au tunatishana? na JK atatoa wapi hekima ya kurudi na kusema jamani nilikosea bungeni sasa tujadili maoni ya wananchi yaliyo kwenye rasimu?? KIFUPI KATIBA CHINI YA CCM HAIWEZEKANI
 
yani mimi nilimdharau katibu nepi juzi eti bila hata kuwa anamtukana lisu kichaa na watu wanapiga makofi hapo ukatibu uko wapi ??anafundisha nini inreflect nini suka hoja si matusi brother i used respect u but for this u look like STD student 7...SECOND anahamasisha eti uvccm umefika mwisho wa uvumilivu sasa eti wao watapiga hao wapinzani tumefika hapo kweli,mwenzie mwenye jina mfugo nilimsikia tena km serikali 3 zikipita ataenda msituni maneno gani haya ????????????mimi binafsi nadhani ipo sababu ya mwenyekiti wao kuwaonya watafute maneno ya kuongea<
Wasisahau haukuna mwenye hati miliki ya hii nchi ..kikiwaka ni sisi wenyewe wazee wetu,mama zetu watto wataopata shida,pamoja na haya siasa zisitutoe kwenye utu,,tafadhalini jitahidini kujitambua wenyewe,,

We still do not know one thousandth of one percent of what nature has revealed to us.

Back
Top Bottom