Recent content by jmalema

  1. jmalema

    JWTZ fungukeni macho mnahujumiwa

    wewe unaota ndoto za mchana
  2. jmalema

    JWTZ fungukeni macho mnahujumiwa

    afadhari wewe ndio maana viongozi wa hivi vyuo wengi ni mamilionea maana hudili na wanafunzi wenye hela
  3. jmalema

    JWTZ fungukeni macho mnahujumiwa

    bora wewe bro
  4. jmalema

    JWTZ fungukeni macho mnahujumiwa

    pole brother hivi vyuo kimojawapo kilichopo Zanzabar chukuani kimevujisha mitihani kwa wanafunzi husika hii ni kwa mujibu wa vyanzo vya ndani
  5. jmalema

    NATAFUTA KAZI JUBA SUDANI KUSINI AU DRC

    Wana Bodi habari zenu Ama baada ya salamu shida yangu ni hiyo kwa mwenye uelewa juu ya maeneo hayo elimu yangu ni ya wastani ila nimebase katika maswala mazima ya Ulinzi nimeshafanyia sana kampuni za hapa Tanzania KAMA NIGHT SUPPORT KK GUARD ILA MALIPO NI KIDOGO SANA naomba mwenye uelewa wa soko...
  6. jmalema

    Tanzania tuamke hata kwa hili polisi inatuangusha

    Kama kawaida hizi habari nilizipata katika mizunguko yangu ya biashara ndani ya nchi zetu za Afrika Mashariki kwa atakaye bisha silazimishi kuamini Katika jeshi letu la polisi yupo mwana mama anayeandaliwa kuja kurithi mikoba ya kamanda C-law kwa kigezo cha usawa wa jinsia mpaka hapo...
  7. jmalema

    Rais Magufuli tupia jicho lako wizara ya ulinzi

    ilka kwa uwanja wa shabaha pale mbezi beach lile eneo kwa sasa nlinathamani kubwa sana maana limezungukwa na mahoteli ya kitalii tupu wawe makini tu kama likiuzwa liwe kwa faida ya nchi
  8. jmalema

    Rais Magufuli tupia jicho lako wizara ya ulinzi

    Lakini kama taratibu za uwekezaji zimefuatwa hakuna tatizo navyojua hatangazwa zabuni ya wazi na wazabuni hushindanishwa kupata alie bora zaidi jeshi ni taasisi iliyojaa wasomi katika kalne hii tena katikati ya zama za utumbuaji majipu kila kona hicho alichoongea japo kuna ukweli kwa mbaali...
  9. jmalema

    Ujasusi / Upelelezi / Udukuzi: Maana yake halisi na uhatari wake

    nashukuru wajuvi wa haya mambo wametulia na huwa hawachangii chochote wewe yeriko ktk hiyo fani huna unachojua ila kuja kudanganya watu tu humu na wsio jua wanakusifu et somo zuri nakwambia ww mweupe sana katka hili afu unajifanya kuwafundisha watu kazi zao na kiona tanzania iko nyuma sana...
  10. jmalema

    JWTZ fungukeni macho mnahujumiwa

    nilipoipata hii habari nilijua ni mpya kumbe inajulikana sana tu tatizo kila mtu alikua anaiongelea chinichini hebu tungtuone baada ya miaka 6 nini kitatokea wasipochukua hatua naskia jamaa wanalindwa sana kutokana na uwezo wao mkubwa kiuchumi
  11. jmalema

    IGP Mangu unajua haya?

    tunapoelekea kusheherekea sikukuu ya pasaka kuna taaarifa magaidi wamejiandaa kufanya shambulizi hasa maeneo yenye mikusanyiko makanisani ndio walengwa wakubwa na vituo vya mabasi wanapanga kuwatumia hasa raia wa kigeni hata mabasi ya kusafirishia abiria sio salama chukua tahadhari binafsi
  12. jmalema

    IGP Mangu unajua haya?

    kuna pikipiki 5 zinafanya kazi ya wizi boxer zikiwa chini ya uangalizi wa polisi wako wa mkoa wa kipolisi ilala huzunguka maene ya bot ifm samora jirani na ikulu biashara iko hivi hawa vijana wamesajiriwa na moja wa polisi wako anaitwa Christopha Mtabutu hupeleka 50000 elfu hamsini per day...
  13. jmalema

    JWTZ fungukeni macho mnahujumiwa

    sory bro sikuja kubishana huwezi ukapinga tafiti kwa maneno tafiti hupingwa kwa tafiti kwa heri
  14. jmalema

    JWTZ fungukeni macho mnahujumiwa

    WaTANZANIA tumelala fofofooo nimemaliza kazi yangu kulisaidia taifa langu watu bado wanabisha wakati wenzetu wako katika long term plan sie tuna endelea kudiscus million kumi za mboga haya kwa herini wadau ila wale wanofanyanyia kazi hizi habari najua watakua tayari wameshaona viashiria flani...
  15. jmalema

    JWTZ fungukeni macho mnahujumiwa

    Nimeipata katika nchi jirani iliyokua na vita ya maneno na Tanzania, miaka ya karibuni kumekuwa na hujuma kubwa inafanywa ndani ya JWTZ hasa katika mfumo wa mafunzo kwa kada chini yaani JRN NCOs n SRNCOs katika vyuo vyao. Swala liko hivi, kitengo cha kijasusi cha nchi hiyo kilituma mawakala...
Back
Top Bottom