NATAFUTA KAZI JUBA SUDANI KUSINI AU DRC

NATAFUTA KAZI JUBA SUDANI KUSINI AU DRC

jmalema

Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
16
Reaction score
22
Wana Bodi habari zenu
Ama baada ya salamu shida yangu ni hiyo kwa mwenye uelewa juu ya maeneo hayo elimu yangu ni ya wastani ila nimebase katika maswala mazima ya Ulinzi nimeshafanyia sana kampuni za hapa Tanzania KAMA NIGHT SUPPORT KK GUARD ILA MALIPO NI KIDOGO SANA naomba mwenye uelewa wa soko la ulinzi katika maeneo hayo anijuze please
 
kuna theory kwamba maeneo ambayo yana risk kubwa sana ya kuuawa huwa wanalipa vizuri sijui na wewe ndio umetumia theory hiyo! kila la kheri mkuu ngoja wajuvi wa haya mambo waje.
 
Juba south Sudan maeneo yote muhimu yanalindwa na wanajeshi wa Umoja wa mataifa ataeneo zima la soko kwenye maduka ya watu binafsi...
Otherwise kama unajua kingeleza na kiarabu kwa sehemu unaweza kupata ajila kwenye mashirika ya UNO

Elimu yako ni ulinzi tu???
 
Mkuu kwenye hayo makampuni ya ulinzi FUNDI wa kuweka mifumo ya kiulinzi ya alarm analipwa sh ngapi kwa mwezi?
Ahsanta
 
Back
Top Bottom