Recent content by jjs2017

  1. jjs2017

    Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwako

    Kabla ya kununua gari used hakikisha unajua lilikua linapitishwa barabara ipi na kwa speed gani.
  2. jjs2017

    Application ya Jf inashida gani?

    Hii app ya Jf inatatizo gani wakuu Mbona haitaki kufunguka kiasi cha sisi watumia app kuhisi kuwa Jf haipo tena kumbe ipo huku kwenye website
  3. jjs2017

    Nimepiga punyeto asilimia 75 % ya umri wangu sasa namashaka na sperm zangu

    Nimejaribu kuvizia siku zao za hatari na wanakubali kabisa kunibebea ujauzito ila hakuna kitu kinatunga kabisa ndo maana napata mashaka sana
  4. jjs2017

    Nimepiga punyeto asilimia 75 % ya umri wangu sasa namashaka na sperm zangu

    Kama kichwa cha habari kinavyosema nilikua mraibu wa punyeto kupita kiasi takribani robo tatu 3/4 ya umri wangu na maisha yangu.. Nilianza uraibu wa punyeto baada ya kubalehe tuu na niliijua kupitia kwa kiongozi wa dini ambaye mpaka leo na muona kuwa ni shetani. yeye ndiye aliyenifunza kupiga...
  5. jjs2017

    Majibu: Sperm analysis

    Wakuu. Vipi kuhusu mbegu kutoka nje kwenye uke ?
  6. jjs2017

    Wanawake wakiamu hakika wanaume tutakufa kama konokono ni vile tuu mtetezi wetu yu hai

    Swala la hao kubaki na nani hawafikiriagi hawa.. wewe vimba ila ujue tuu hawa viumbe ni balaa
  7. jjs2017

    Wanawake wakiamu hakika wanaume tutakufa kama konokono ni vile tuu mtetezi wetu yu hai

    Habari ya siku nyingi. Kweli kama vile mkate mgumu ukiwekwa kwenye chai unavyokuwa ndivyo hivyo na wanaume tunavyokuwa mbele ya wanawake kunako 6*6, na ndiyo maana katika moja ya njia ya mwanamke kukudhibiti na kukupa maumivu ya moyo ni kukunyanyasi tamu yake hakika maana kukupiga mwanaume...
  8. jjs2017

    Natarajia kuanza kununua dada poa rasmi kupooza nafsi yanguq

    Hapo kwenye vijizi na kuelewa mkuu
  9. jjs2017

    Natarajia kuanza kununua dada poa rasmi kupooza nafsi yanguq

    Nimegundua wanaume waoaji na wenye nia ya dhati kuoa na kuishi na mke maisha ya kumpendeza Mwenyezi Mungu tupo tukianza na mimi ila kuna ugumu mkubwa na upinzani mkali sana katika kutafuta mke mwema, na usipo kua mwangalifu unaweza ukajipatia mental disioder hivi hivi. Sasa ili kujilinda...
  10. jjs2017

    Mke wa mtu ananisumbua sana nimemkanya hataki kusikia

    Ni nae mwingine , japo pia na fikira ni mchonganishe yeye na mwanamke wangu labda mwanamke wangu atanisaidia kupigana nae
  11. jjs2017

    Mke wa mtu ananisumbua sana nimemkanya hataki kusikia

    Nawaza sana nimwambia mume wake japo sijui reaction ya mume wake itakuaje kwa mkewe
  12. jjs2017

    Mke wa mtu ananisumbua sana nimemkanya hataki kusikia

    Nimejaribu hii imeshindikana
  13. jjs2017

    Mke wa mtu ananisumbua sana nimemkanya hataki kusikia

    Nimejaribu hii imeshindikana
  14. jjs2017

    Mke wa mtu ananisumbua sana nimemkanya hataki kusikia

    Nia ninayo nimehangaika sasa inanishinda, acha kunitukana
Back
Top Bottom