Kwanza walikuwa hawapigwi, kama alikuwa anafikisha malengo ndo maana kakaa muda wote huo, suala la yeye kujenga gesti zake ni mbinu zake. Naamini kama angekuwa anawapiga msingemuacha for 10yrs
Nakushauri kwa kipindi cha 20yrs back ni kirefu sana ingawa naelewa maumivu yake, ila naamini hili jambo lingeweza kuisha kifamilia zaidi, una uhakika mnaojua ni nyie wawili tu? Nimeona hapo kama umemuhusisha na Shekhe, Kwa sababu nyie ni watu wazima mkaenae muelezeni linavyowasumbua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.