Kwanini Wanaume wengi wanapenda kufanya Ngono ndani ya magari yao?

Zipo sababu 2 tu za mwanamke/ mwanaume kumeng' enyana ndani ya gari.

1- ambayo ni kuu, mwanaume popote akijiridhisha anaweza kupiga mabao ya chapchap anamtest mwanamke akiona ni fala anamlipua iwe garini, chooni, chochoroni, bafuni, ofisini, koridoni , mtaroni nk.

2 - hadhi ya Mwanamke/mwanaume hapa unaweza kukuta mwanamke au mwanaume nafasi yake ni finyu mno kutokana na kazi yake au wivu wa mumewe au mkewe au hawara hivyo mmeng'enyo wa ndani ya gari lazima.

Mwingine hadhi yake kuonekana ndani ya nyumba za mimeng'enyo ni hatari kwa kuogopa udaku.

Mwisho maumbile kuna wanawake wengine ni dhaifu mno, akiwekwa mtu kati mabusu mpapaso kidogo anakuwa hoiiiii kwann mmeng' enyo usitokee popote.
 
Huyu mtoa mada atakuwa mmoja wa walinzi wa Parking wanaopigaga chabo kisenge 😂😂😂
 
Mijitu mingine hamjui maana ya Non of your Business!
Yaani atiwe mwingine harafu ukerekwe wewe! je siku ukitiwa si ndo utazimia!?
acha kufuatilia mambo ya watu, kutwa kukodolea magari ya watu yalivyopark pimbi kabisa!
huyo jamaa anayepiga chabo wenzake anakuwa anapiga pulli balaa
 
Cha fasta hii inatokana na kuzungushwa sana so unaamua kukikamulia kwenye gali
 
Ni kwanini Wanaume wengi siku hizi wanapenda sana kufanya Ngono ndani ya Magari yao? Hii tabia siyo tu kwamba sasa imeshazoeleka bali kwa jinsi ambavyo ninakutana nayo sasa ni dhahiri kabisa kuwa imeshaota Mizizi.
Adventure
 
Mimi binafsi kikubwa kinachonifanya nile mzigo kwenye gari mara kwa mara ni:
1. Muda: Kwenda guest ni mpaka mjipange kwamba tunaenda guest kubanjuana, kila mtu ajiandae, mpitiane, muanze safari ya kwenda. Yaani lazma mtenge siku. Sasa siku zingine huo mda haupo, unakuta una 2 hours tu na ni mida ya jioni kagiza giza.... Pia kwenda guest kukaa masaa mawili au matatu na guest nyingi wanataka ulipe hela yote ni undezi.
2. Ku test zali: Kwa sisi ambao hua hatutongozi, kwenye gari ni sehemu muafaka ya kutest kama dem analika au vipi. Mara nyingi nimeshaenda na madem wapya guest halafu mkifika ndani dem anaanza kuzingua na kukataa ooh mara mi sikua nakuwazia hivyo.. nilikua nakuona mtu wa heshima nk. Au unakuta yuko mp na wewe umeshalipia chumba. Ila kwenye gari ukimtest akichomoa fresh tu no cost incurred unamrudisha kwao.
3. Hayo mengine waliyosema wadau
Ni kwanini Wanaume wengi siku hizi wanapenda sana kufanya Ngono ndani ya Magari yao? Hii tabia siyo tu kwamba sasa imeshazoeleka bali kwa jinsi ambavyo ninakutana nayo sasa ni dhahiri kabisa kuwa imeshaota Mizizi.
 
Back
Top Bottom