Recent content by JJJames

  1. J

    JamiiForums Tanzania Application za mkopo HESLB

    Hapo picha inatakiwa kuwa na ukubwa MB 1 na kushika chini
  2. J

    JamiiForums Tanzania Application za mkopo HESLB

    Kwahiyo na picha ya passport nayo inatakiwa kuwa pdf? Maana mimi picha ya passport ndio inasumbua sana
  3. J

    JamiiForums Tanzania Application za mkopo HESLB

    Umetumia application gani kuiweka picha kuwa na size ya MB moja?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Application za mkopo HESLB

    Viongozi na vipi kuhusu picha jamani, maana picha pia mimi nashindwa kunifanya kuwa MB 1, naweza kuiweka kuwa 120 kwa 150 ila sasa kwenye size ya MB 1 ndio changamoto naomba msaada au application ya kunisaidia kufanya hivyo. Natangulisha shukrani zangu za dhati kwenu viongozi.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu/watu waku-practice kuongea naye Kiingereza

    I'm in
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Huenda asiwe miongoni mwa hao kabisa
  7. J

    JamiiForums Tanzania Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

    Fanya mazoezi haya kuondoa mafuta yasiohitajika mwilini, kuondoa nyama uzembe na kupata six packs haraka ukiwa nyumbani bila kwenda gym
  8. J

    JamiiForums Tanzania Sheha Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde (CCM) ajiuzulu

    Duu aisee tutaona mengi sana
  9. J

    JamiiForums Tanzania Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

    Fanya mazoezi haya kupata six packs haraka au kuondoa nyama uzembe ukiwa nyumbani bila kifaa chochote bila ya kwenda gym.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Usijali kuna mazoezi madogo anayotakiwa kufanya bila kifaa chochote bila hata kwenda gym. Bofya link hapa chini utapata video za mazoezi anayotakiwa kufanya, Kila zoezi sekunde 45.
Back
Top Bottom