Recent content by Jizzy1

  1. J

    Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

    Nlimaliza udom thoz yearz, nimemaliza program ingine open universty recently, mziki wa open usipime, Nlidhan open ni lelemamaa hakika sio, nlichokisomea hakijadharaulika na kimeniinua kiasi, mentality ya kudharau OUT ipo cha muhim ni kutambua malengo yako na kuyasimamia.
  2. J

    Kanizalisha, ananibana kufanya mambo yangu na hana mpango wa kunioa, Nifanyaje?

    Asante kwa post yenye akili. Ukiwa mgeni unaweza kudhani wana Jf wote mambo safi kila mmoja anajirate so highly. Ujumbe murua kwa wana drama wote popote walipo.
  3. J

    Rungu la Magufuli latua Halmashauri ya Hai, 11 wasimamishwa kazi kwa ubadhirifu wa zaidi ya 512ml

    Hahaaaaa, walim wako walipata tabu sana, sasa huelewi nini? Wewe unajua kwamba 2010-2015 Hai dc ilikuwa inaongozwa na chadema au unahisi? Au unahemuka? By da way nani amekwambia chadema kuna malaika? Mpaka leo hata ofisi hatuna hilo hushangai? Wabunge wote chadema ni effective? Tumia reasoning...
  4. J

    Rungu la Magufuli latua Halmashauri ya Hai, 11 wasimamishwa kazi kwa ubadhirifu wa zaidi ya 512ml

    Weka majina mradi usiwe unamchafua mtu, mimi nimeshaweka.
  5. J

    Rungu la Magufuli latua Halmashauri ya Hai, 11 wasimamishwa kazi kwa ubadhirifu wa zaidi ya 512ml

    Sure, katika hawa watumishi hakuna hata mkuu wa idara, iweje hivi vidagaa vitolewe kafara wakubwa waachwe? Bado kuna majipu katika hizi halmshauri zetu kote nchini
  6. J

    Rungu la Magufuli latua Halmashauri ya Hai, 11 wasimamishwa kazi kwa ubadhirifu wa zaidi ya 512ml

    Maafisa utumishi waliokula pesa za watumishi ni Faraja Ndatu na Bayege. Hawa walishasimamishwa kazi pamoja na mhasibu walichukua mkopo CRBD kwa majina ya watumishi hewa na pia walikula pesa zote zilizotengwa kwa ajili ya watumishi wa afya hospitali ya machame, wameongeza upekuzi wamebaini...
  7. J

    Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

    R i p kamanda mawazo, unaoza wewe ili wengine wachipue, # ua a hero #
  8. J

    Swali la Kimantiki: CCM wamuue Alphonce Mawazo kwa sababu zipi hasa?

    Mbwambo mwenyekiti wa chadema kata ya usa river alikuwa threat kwa nani hadi kuchinjwa kama ng'ombe uchaguzi mdogo uliomleta Nassary bungeni? Kama Alphonce alikuwa mgomvi alistahili kuuawa? Ua so stupid!
  9. J

    Zoezi lililofanyika Machame Hospital, lifanywe halmashauri zote nchini

    Angalau serikali inawajibika, maafisa utumishi wa h/m ya HAI ndugu BAYEGE na NDATU kwa kushirikiana na idara ya fedha wameumiza sana watumishi wa afya, elimu na idara zingine. Nadhani kuwasimamisha kazi tuu haitoshi, waondolewe na wafikishwe mahakamani, ninaweza kusaidia TAKUKURU juu ya kesi za...
  10. J

    Zoezi lililofanyika Machame Hospital, lifanywe halmashauri zote nchini

    Mkuu sir luta mbona hujaweka hii habari kwa ukamilifu wake? Irekebishe tafadhali, binafsi nimeiona kwenye taarifa ya habari saa tano usiku huu.
  11. J

    If no dirty tricks, what is wrong with independent tallying for verification?

    Ua a genious brother, great analysis, Tanzania ina watu wanaoweza ku read btn the lines, siku nyingine usiumbue wanafeki kiasi hiki, MSAFARA WA MAMBA...!
  12. J

    If no dirty tricks, what is wrong with independent tallying for verification?

    Huna unachokisimamia, upuuzwe tu, leo hili kesho lile
  13. J

    GE2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

    Watu wenye ufahamu ndio wapotoshaji wakubwa, mmekosa uzalendo badala yake mmetanguliza ubinafsi mbele, ulichokisimamia jana leo hukitaki, unachokisema leo baadae unakikana alimradi maslahi yenu yafanikiwe, aibu sanaaa!
Back
Top Bottom