Recent content by jizwalo

  1. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA kuweni macho sana na hili

    Kabisa
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

    Jamani msishangae ccm ni ile ile hakuna jipya kabisa
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwa hili tukio la leo, ITV wasiachwe hivi hivi, wachukuliwe hatua za kisheria

    Wajinga kabisa nendeni mkawaambie tbcccm nastartvccm na cloudccm
  4. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli aomba wananchi wamuombee

    Haiwezekani muombeni nyie
  5. J

    JamiiForums Tanzania VOA On Tanzania election--Straight Talk Africa

    Nimeangalia hata mimi wamesema kwa nini Matokeo ya Urais yasihojiwe Mahakamani kwa kuwa tuko katika mfumo wa vyama vingi wakasema tuko katika udikteta na malalamiko ya tume yako kila mwaka hayatatuliwi wanjiita tume huru
  6. J

    JamiiForums Tanzania Arusha - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Niko kituo cha WYCA FIRE ARUSHA WATU KIBAO WAMEJITOKEZA NIPO KWENYE FOLENI
  7. J

    JamiiForums Tanzania Vunjo: Maboksi 'kura feki' yakamatwa Himo, Kilimanjaro

    Chomeni mkiacha mmeliwa kabisa
  8. J

    JamiiForums Tanzania Naantombe Mushi is in the house

    Nantosa
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    Hakuna haki Tanzania na huu ndio muendelezo wa Serikali ya ccm kwanza Jaji Alois Mujulizi ndo aliyetengua Ubunge wa Godbless Lema Arusha kwa kukiuka taratibu na kanuni za kisheria hii ndo ccm ambayo wanajidanganya
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kura Yangu Magufuli, wewe Je?

    Laigwanani Lowasa tu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Taasisi za kimataifa zampa heko Magufuli kwa sera bora

    Labda hao waliopewa gesi tu na madini yetu wanaogopa kufukuzwa
  12. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Ukitaka kukaa mita 200, uwe na kibali

    Hakuna waache kutuhadaa wanataka kuiba kura hatutakubali bora tufe tukiipigania haki yetu ya kikatiba kabisa
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kuna Viongozi wana dalili za kushtakiwa ICC

    Na tutakaa kusikiliza nani ametangazwa mshindi
  14. J

    JamiiForums Tanzania Timu ya ushindi UKAWA yavurugana, wadai kuna wasaliti miongoni mwao

    Ccm yako haudanganyi hapa
  15. J

    JamiiForums Tanzania Imethihirika CCM itashinda kwa urahisi kabisa kuliko miaka yote

    Kapimwe akili wewe
Back
Top Bottom