VOA On Tanzania election--Straight Talk Africa

VOA On Tanzania election--Straight Talk Africa

Weka cha kwako chenye akili na mtazamo chanya ambacho kitahubiri uzalendo wa kweli
 
Tatizo la CCM wanafikiri wapo smart sana kumbe ulimwengu wote unawaona na madudu yao. Wanatucheka sana kwa kujidai tunaimba democracy kumbe ni wahafidhina wa udikteta.
 
Weka cha kwako chenye akili na mtazamo chanya ambacho kitahubiri uzalendo wa kweli

kipi cha zaidi hata hichi cha kuuleta uzi huu ni uzalendo tosha nina mashaka na akili yako ngoja nikuulze nini maana ya uzalendo?? sijasoma shule ambayo inaniambia politician mzur ni yule anayepiga push up jukwaani uo sio uzalendo uzalendo ni kuaddress matatizo ya wqnanchi na kuangalia namna ya kuyasolve hivi kwa akili yako 50million per one village is it enough to step ahead common peoples problems with challenges facing them,how can poor can use that money without light to govern them i mean xpenditure displine?? thus why LOWASSA said education education education coz is the source of all matter what education doesnt hold on nothing ????idiot
 
Shukurani VOA...Voice of Amerika ambao mko live sasahivi kwa kueleza ukweli wa MADUDU ya CCM....Sasa dunia nzima inajua kuwa Nec...Zec....Ccm kitu kimoja wanadhulumu Demoracy ya wananchi wengi wa Tanzania...
Thankx to Shamsi abdalla of ZANZIBAR DIASPORA ASSOCIATION....And proffessor Erick Ed of Ivory Coast to inform the World that Tanzania election was not fair....DUNIA INAJUA SASA AIBU KWA CCM...NA UJINGA WAO....

Nyie komaeni na VOA huku kesho au keshokutwa sie tunamwapisha JPM na kuwa Amiri Jeshi Mkuu ili wakati anawabana kina nyie ng'ambo ile Uchaguzi unafanyika kwa amani na wakati huo boss wenu atakuwa Monduli anachunga.
 
there is a long way to prove the SCIENTIFICITY OF DEMOCRACY in Africa particulary in our nation. WE are good preachers for, but how to anticipate and walk on it...is another game.
 
Mleta uzi nami nimeangalia VOA, shaka na waalikwa wake na pia akiongea na Kawishe, ningekishauri uwe OBJECTIVE ktk bandiko lako.

Mtoa mada yupo sahihi hata mimi niliangalia, tusijifanye mazuzu nchi yetu haina democracy. tusidanganyane we have to stop this insanity as a nation.
 
Nimeangalia hata mimi wamesema kwa nini Matokeo ya Urais yasihojiwe Mahakamani kwa kuwa tuko katika mfumo wa vyama vingi wakasema tuko katika udikteta na malalamiko ya tume yako kila mwaka hayatatuliwi wanjiita tume huru
 
there is a long way to prove the SCIENTIFICITY OF DEMOCRACY in Africa particulary in our nation. WE are good preachers for, but how to anticipate and walk on it...is another game.
right stop thinking about tanzania we are intertainer only
 
Nimeangalia hata mimi wamesema kwa nini Matokeo ya Urais yasihojiwe Mahakamani kwa kuwa tuko katika mfumo wa vyama vingi wakasema tuko katika udikteta na malalamiko ya tume yako kila mwaka hayatatuliwi wanjiita tume huru
nimemsikiliza emmanuel kawishe nikapoteza imani kabisa yeye kaegemea kule kule kwa wenzetu wa visiwani alafu kama vile literally kamtaja mshindi nikaishiwa pumzi
 
Ninatamani Dunia yote ijue hali halisi ya Demokrasia katika Tanzania.
 
Ila sisiem ninyi kiboko kwa wizi na ubakaji wa demokrasia, kuna watu wanapata hisia mbaya na kanda ya ziwa na kati, ila hawa majizi wamefake matokeo, kiukweli ukipita majiji mbalimbali hamna hata shamra shamra zinazoakisi ushindi fake wa makufuli tunaosomewa, watu wengi wamepoa kama vile hamna uchaguzi uliotoka kufanyika, hii inaashiria huzuni kubwa ndani ya watanzania, Tukaze mkanda huu udhalimu unakwenda kuisha soon.
 
Aibu tupu.Tulishasema hapa kwamba Kikwete hana tofauti na Nkurunzinza.Frankly legacy yake ni mbaya sana.
Hii ni aibu kwa taifa zima. Hata tukienda nje hatuna tofauti na wasomali kusema kweli.

Kina Kagame na Nkulunzinza watakuwa wanatucheka tunavojipambanuaga mbele yao kama wana demokrasia.
 
Ninatamani Dunia yote ijue hali halisi ya Demokrasia katika Tanzania.
washajua sasa hivi wanatuchora tu jinsi tulivyo mahayawani kuna Raia wenzetu wanashusha sana thamani yetu kwa vichwa walivyo navyo
 
aibu kwa nchi za jirani kagame ni nabii mzur sana aibu hii tutaificha wap viherehere kupatanisha wenzetu yetu yanatushinda
 
Hatuchagui rais wa VOA, wakome kufuatilia mambo yetu
Mkuu tatizo hapo ni uswahili - we unafikiri billioner TRUMP anakosea anapo hoji akili za sisi waswahili? Kama watangazaji hao wangekuwa ni wazungu hoja zao zingekuwa objective zaidi,sina shaka uliwasikiliza vizuri observers wa EU hao walitembelea vituo vya kupiga kura na kuona kilicho kuwa kinaendelea na kutoa ushauri panapo bidi kufanya hivyo,vile vile observers wa SADCC maoni yao haya tofautiani na ya EU - sasa huyu Mganda na Mkenya wanajua nini kuhusu sheria zinazo husu chaguzi ndani ya Taifa letu,wanakrupuka tu bila ya kupitia vipengere vya katiba vinavyo eleza vizuri masuala ya chaguzi nchini - one could sense walisha pewa maswali in advance na akina MBOWE ya kijaribu ku-corner/lahumu TUME,namshukuru sana msemaji wa TUME ambaye anaonekana kichwa chake kinachemka kweli kweli ameweza kumjibu Shakha kwa weledi mkubwa mpaka ujeuri wa Mganda huyo ukayeyuka kama barafu,tukija kwa Mkenya ndio kabisaa, kajibanza Hotelini anahangaika na Viongozi wa UKAWA jinsi ya kuibamiza TUME na Serikali through VOA wanafikiri Watanzania hatuna akili kujua kinacho endelea behind the scene, nina uhakika Mkenya huyo hakutembelea kituo chochote cha kupigia kura wala kuhoji wapiga kura wa kawaida na kusikiliza maoni yao.

Tanzania tunaweza kuwa na matatizo ya hapa na pale specifically suala la utehuzi wa tume, lakini suala hili linaweza kutatuliwa kwa mazungumzo na stakeholders wote,nina uhakika Rais anayekuja atalishughulikia vilivyo, kama Kenya waliweza ku-address tatizo hilo kistaarabu sisi tutashindwaje? - Sasa CHADEMA ina haja gani ya ku-summon foreign media na kuhanza kulalamika ovyo - VOA ina mamlaka gani vya kulazimisha jinsi ya Kuongoza Taifa letu?
 
Nimefatilia viuri mjadala huo, Aibu sana kwa TZ
 
Excellent...!!!

VOA, striked the center of the TRUTH...!! NAILED IT...!!! In Tanzania Multi-party System is the NIGHTMARE... FICTION...COMEDY... just ON Paper only...!!

#Reasons...!!!

1: All NEC members, are picked by CCM Chairman...!! Who is the President...!!

2: Election Supervisors are CCM MEMBERS eg. DC, MUNICIPAL COUNCIL CHAIRMAN, RC, RPC, OCD....all those are CCM members...!!!

3: ONCE the PRESIDENT is illegally and fraudly win ELECTION, and NEC passed him, no one is ALLOWED TO BOYCOT or QUESTION the NEC results...anywhere...!!! This is DICTATORSHIP rule of oppression, this is 100% AGAINST DEMOCRACY...!!!

4: NEC is 100% CCM in that sense... NO JUSTICE is being exercised..!! So ELECTION is NOT FREE and FAIR at all..!!!

Tume ni ya CCM... alafu tume itoe matokeo TOFAUTI NA MWAJIRI WAKE....!!!

VOA, wanajua... VYAMA vingi ni ktk PAPER tu...!!! Period...!!!

Hakuna VYAMA VINGI TANZANIA... ni mazingaombwe tu...!!!
 
Mkuu tatizo hapo ni uswahili - we unafikiri billioner TRUMP anakosea anapo hoji akili za sisi waswahili? Kama watangazaji hao wangekuwa ni wazungu hoja zao zingekuwa objective zaidi,sina shaka uliwasikiliza vizuri observers wa EU hao walitembelea vituo vya kupiga kura na kuona kilicho kuwa kinaendelea na kutoa ushauri panapo bidi kufanya hivyo,vile vile observers wa SADCC maoni yao haya tofautiani na ya EU - sasa huyu Mganda na Mkenya wanajua nini kuhusu sheria zinazo husu chaguzi ndani ya Taifa letu,wanakrupuka tu bila ya kupitia vipengere vya katiba vinavyo eleza vizuri masuala ya chaguzi nchini - one could sense walisha pewa maswali in advance na akina MBOWE ya kijaribu ku-corner/lahumu TUME,namshukuru sana msemaji wa TUME ambaye anaonekana kichwa chake kinachemka kweli kweli ameweza kumjibu Shakha kwa weledi mkubwa mpaka ujeuri wa Mganda huyo ukayeyuka kama barafu,tukija kwa Mkenya ndio kabisaa, kajibanza Hotelini anahangaika na Viongozi wa UKAWA jinsi ya kuibamiza TUME na Serikali through VOA wanafikiri Watanzania hatuna akili kujua kinacho endelea behind the scene, nina uhakika Mkenya huyo hakutembelea kituo chochote cha kupigia kura wala kuhoji wapiga kura wa kawaida na kusikiliza maoni yao.

Tanzania tunaweza kuwa na matatizo ya hapa na pale specifically suala la utehuzi wa tume, lakini suala hili linaweza kutatuliwa kwa mazungumzo na stakeholders wote,nina uhakika Rais anayekuja atalishughulikia vilivyo, kama Kenya waliweza ku-address tatizo hilo kistaarabu sisi tutashindwaje? - Sasa CHADEMA ina haja gani ya ku-summon foreign media na kuhanza kulalamika ovyo - VOA ina mamlaka gani vya kulazimisha jinsi ya Kuongoza Taifa letu?
Hivi wewe hii CHADEMA umewaona walioenda huko. kama si upuuzi uliofanyika huko Zanzibar unafikiri kuna taifa linge ongea? hivi kwa akili yako kuna kitu kinaweza kufanyika Tanzania eti hadi wapinzani wapige kelele ndo mataifa mengine yaongee. Dunia ya sasa ni nyumba moja sufuria likianguka tu wa chumbani anajua endeleeni kuwa na fikra za analogy wakati wenzenu wako kwenye light speed. hadi mabomu yapigwe mshindi ndo atangazwe afu mnatuhadaa nchi ina amani hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom