Recent content by jiwegizani

  1. jiwegizani

    Meseji ya mke wangu kwa mama yake inamtuhumu mama yangu kuwa ni mchawi

    Uchawi ni siri kubwa kaka.... Kwa kuambiwa huwezi amini hasa kwa mama yako hapo usimuone mkeo mbaya Wala mama yako chunguza kwa unavyojua ww utapata ukweli.
  2. jiwegizani

    Mke wangu kajifungua, ni zawadi gani itamfaa kama shukurani?

    Kashasema uwezo wa kununua gari hana
  3. jiwegizani

    Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

    Wote hao basi we ndio mwenye tatizo
  4. jiwegizani

    Changamoto za ndoa .

    Jaribu kumuelewa huyo dada.... Stroke ni ugonjwa tu unaweza kuvumilia sana.... Lakini ulevi wa kupitiliza unaokupelekea kujitapikia, kufanya fujo yan ni ulevi uliobeba kudhalilishana na sio kwamba hajaongea nae ameshaongea nae mpk vikao lkn anahaidi ataacha bila kutekeleza ahadi ya kuacha hivyo...
  5. jiwegizani

    Namuacha huyu mwanamke, sababu anavaa kikuku

    Mbona ata wale wanawake warembo wa kwenye biblia walikuwa wanasifiwa kwa kujipendezesha na vikuku.... Ni moja ya urembo tu na si vinginevyo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. jiwegizani

    Ndoto ya kurudi tena masomoni, huwa inamaanisha nini?

    Mimi pia ni mmoja wapo mwenye kusumbuliwa na hii ndoto Sent using Jamii Forums mobile app
  7. jiwegizani

    Msaada: Mfanyakazi mwenzangu anasema ameshamla sana mpenzi wangu wa sasa

    Kuna wanaume sijui ni ulimbukeni au utoto yani akishatembea na mtu mpk atangaze km alishatembea nae Sent using Jamii Forums mobile app
  8. jiwegizani

    Ukonga: Mwanamke mmoja atuhumiwa uchawi baada ya kuonekana akiwa katikati ya barabara amekalia ungo

    Naisi ni masharti ya mganga 2 alikuwa anatimiza Sent using Jamii Forums mobile app
  9. jiwegizani

    Some lemonade for you madame!

    Story nzuri hatariiii
Back
Top Bottom